CCM yafurahia kapuya kubaka

CCM yafurahia kapuya kubaka

unadhani serikali inayoendeshwa na wazungu wa unga na wang,oa tembo meno morally watakuwaje ni ubakaji waliuua albino wee ili wabaki kwenye vyeo sasa wanabaka mayatima
 
Hakika inauma na kuuzi,tusiingize siasa kwenye hili nimaanisha si wakati wa CDM kutoa tamko kwa maana kuwa tuhuma hizi zinahitaji kuchunguzwa na vyombo husika na hatua stahiki zichuliwe..
 
Alaaniwe shetani huyu alaaniwe!
Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe! Alaaniwe shetani huyu alaaniwe!
 
KwaNza hawa watoto watafutiwe hifadhi hata ubalozi wa marekani. cuz hii hali sasa ni hatari kwa usalama wao. tena wawasimamie haki zao kimataifa.
kwa nguvu za bazazi huyu na madaraka na chama chenyewe tawala....sijui!
 
chupi kenya.jpg
 
Msg delivered kw wahusika Lumumba street na kwingineko.....!
 
Hapa uchama haupo,kwani wanaccm hawana watoto?hawana ndugu? Hili ni tatizo limetokea lazima chama kijipange kutoa majibu ili kisiharibu image yake,hata bill clinton alipopata kashifa ya ngono democrats hawakukurupuka,angalia mkurugenzi mtendaji wa imf na kiongozi wa france socialist party bw. Claus khan chama hakikurupuka.
Kwa hili kapuya ni lazima atoswe,hapa hakuna tena mazingira ya kumbeba vinginevyo chama kikubali kubeba madhara ya ubakaji wake kwenye chaguzi zijazo, na kumbuka vijana wake kwa waume ndo wapiga kura wengi kwa sasa.
Nasi wanachama wa kawaida tunasubiri tuone,je tutaongezewa msalaba wa kuutetea na viongozi wetu au watautua na kutuachia iliyopo? Manake hili linalotokana na matamanio ya kimwili na roho mbaya ya uuaji alibebe mwenyewe.hii penati aidake mwenyewe na si kubebesha chama mzigo.
 
Wananchi tumuue tu. Kwani hakuna haki ndani ya CCM na serikali yake.

Kitendo hiki kinauma sana kama mtu ukifikiri watu wa umri huo waliokuzunguka.
 
Ccm watatoaje kalipio kali wakati alikuwa anatekereza ilani yao ya siri.Mbinu zote alizo zitumia ni za kiccm tu.Kubaka kuko Ccm,kuuwa kuko Ccm,kumwagia tindikali kuko ccm ndiyo maana bwana mkubwa hajutii makosa aliyo yafanya.Analolitegemea nikupewa uwaziri mkuu kutokana na kazi nzuri aliyoifanya.

Du, mnyanyembe puyaka ndo wazir I mkuu wa tanzania. Hiyo ni baada ya kuchakachua katiba au kwa katiba hii hii? Hata kama hovyo, puyaka! Mzee wa bendi gani vileeee? Akuduo sound au? Wadau pls refresh my mind.
 
Huwezi kumshitaki mtu wa Serikali ya CCM! Atafanya awezalo, na huyo binti atauawa tu mwisho
 
Tabia ya Kapuya ndiyo tabia ya Kikwete.
Hata magonjwa ukute yanafanana.

Wazazi wekeni mbali mabinti zenu mbali na hawa watu ni hatari...
 
Tabia ya Kapuya ndiyo tabia ya Kikwete.
Hata magonjwa ukute yanafanana.

Wazazi wekeni mbali mabinti zenu mbali na hawa watu ni hatari...

Nakushauri kucha na meno uanze kuviacha nyumbani.. ...
 
Nakushauri kucha na meno uanze kuviacha nyumbani.. ...
Duh... Afadhali umempa ushauri wa bure.

Maana tumemsikia wenyewe Kapuya akitamba kuwa wao ndiyo serikali, na anaweza kufanya jambo lolote,hata kuua,na hakuna chombo chochote kinachoweza kumgusa!!

Sasa jaribu kuimagine mtu huyo anaongea hivyo kwa kujiamini na hakuna chombo chochote cha dola kinachoweza kumwajibisha

Kwa mazingira hayo waTZ hatuna sababu ya kutoanini maneno ya Kapuya kuwa yeye ameiweka serikali hii mfukoni na uthibitisho Laurie kuwa watoto wao ndiyo wanaouza "sembe" na hakuna askari yeyote anayethubutu kuwatia mkononi!!!
 
Kama kweli suala hili lilifikishwa BUNGENI na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa basi ni wakati muafaka kwa Wabunge wa viti maalum kujitathmini, si tu Mama Sophia na Spika. Bunge limekuwa kama sehemu ya kuonyesha mitindo. Hatutawaelewa na haitatuingia akilini hili msipolivalia njuga. Jambo hili ni hatarishi kwenu wabunge wote wa viti maalum.
 
Back
Top Bottom