Adryz Senior Member Joined Dec 7, 2025 Posts 192 Reaction score 523 Feb 28, 2026 #1 Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,601 Feb 28, 2026 #2 Kila kitu kwa sisiem ni mtaji.