iran kushambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  2. Adryz

    JamiiForums Tanzania CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea. Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa. Maana hata...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa

    Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama...
Back
Top Bottom