Hiyo ni sawa na kumwamuru mtu ale mavi. CCM ni sawa ni sawa na mavi.CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.
Hakuna kituCCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.
MM Mwanajeshi ila USOMAMLI WAKE KINANA NI NI TATIZO SANAPicha please.
Unachokisema na kukiandika huna uhakika nacho, sasa unataka tuchangie nini?
CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.
ila siasa za bongo usikute hizo kadi wamezinunua wao wenyewe ccm.
Acheni viroba. CHADEMA hapa inahusikaje? CCM kinarudisha imani alafu tena kinakimaliza CHADEMA?CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.
Hili nalo nenoJe imefunika kwa maana wameweza kufaulu kuwashawishi BARRICK kuwalipa fidia wananchi haki zao stahiki kutokana na migodi ya Bulyanghulu na Buzwagi? Je utapeli wa CCM katika manunuzi ya Pamba, umekwisha leo? Au wasukuma wamebaki kuwashangaklia tu maana huko nijuavyo hakuna Mbuga labda Tembo wa Serengeti.Turushie picha tushuhudie namna walivyofunika.