CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

Kahama si kwa lembeli sasa cdm imemalizwa vp?
Na pia sema cdm ndo kila kitu ccm ni sawa na tlp
 
CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.

Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.

Haya bwana! Pitia pale ofisini nikupatie kofia na tisheti yako,umejitahidi kwa asilimia 18.
 
Kweli wewe Maudodo!!! Yaani imefikia stage CCM ikipata watu wengi kwenye mikutano yake ndiyo imeimaliza CDM!! Very foolish propaganda.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
ushahidi wa picha ndio utakaoweza kufufanya kuamini hii tread yako.
 
Kawatoeni kaniki na matumla mliowatuma
 
Muhudumu tafadhali nipatie kinana 2 za bariidiii.
 
CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.

Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.

Nakushauri uwahi pale Muhimbili kwenye idara ya PSYCHIATRY kabla hali yako huko kichwani haijawa mbaya zaidi...we toto iko gonjwa.
 
kwani wewe katika mawazo yako unataka kushauri kumbe wagelikusanywa wafanyakazi nawafanyabiara tofauti nawanakijiji wakulima? wewe diyo boga kabisa dungu yangu!
 
Ungeweka na kapicha kidogo tuone nyomi lake..maana hamkawii kujaza watoto nyie.....
 
ccm ikawamalize mafisadi ujinga na ukabwela hao ndo maadui wao wala siyo Chadema
 
jamani huyo mwenyewe iliye post mumsemehe bule jina lenyewe maudodo.
 
Back
Top Bottom