CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

ANGALIA nyuma ya mkutano malori yalivyo jazana hili uone kuwa hawa ni watu walio sombwa na malori hususani Mafuso
 
mleta mada alitakiwa atueleze hao nyuma ya nape na maige ni nani? green guard.jpg
sio mnalalamika chadema wakijilinda.polisiccm mnayaona haya
 
Masikini Ccm kumbe wapo kwenye kampeni ya kurudisha imani ya wananchi kwa chama chao...
 
mi nashangaa ccm hii ya Kubwa Jinga KJ? Haaaaaaah haaaaaaah bado sana
nyani alioni kundule, unafikili Wanakaama wanaakili kama zako? akili zinazotawaliwa na darasa la 3b? hebu funguka? kidum chama cha mapinduzi.
 
Mmeuwawa na imekula kwenu. Imani gani inarudishwa na ilipotea au kupokonywa lini na hao hao magamba. Ni wananchi wa maeneo ya majanga ndio wanaoweza kurudi na kuwa na imani na magamba. Mji wa Kahama wenye machimbo ya dhahabu una vumbi kuliko sehemu nyingine nchini huku ndege zikija kutua na kuchukua dhahabu Afrika Kusini. Niliwahi kufika kwa ajili ya semina Fulani tukafanya booking ukumbi wa halmashauri. Kuingia tu hali mbaya tangu viti, chooni ndio usiseme. Ili kwa mtindo huu hakuna ulazima wa kuwabadilisha magamba wakae benchi? Watz amkeni achene kudanganywa na magwanda na kofia.
 
Mnaota mnaimaliza ccm? hahahaaaaa.....!!!. mtasubiri sana. Mia
 
Ugoro mwingine sasa umeandika nini?ccm itekeleze ilani yake ishu cyo chadema
 
Unauliza swali wakati tayri umeshachangia!
Sina hakika, Well, inategemea kwako wewe "kuchangia" manake nini; Kama nikuongeza idadi ya Posts, then the answer is YES. Ila kama ni kutoa mchango wa maana then the answer is NO!!!!
 
Back
Top Bottom