CCM mjitahidi kufanya mikutano na wananchi si mikutano ya ndani kama hii haisaidii kuongeza wanachama.
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa uchumi na fedha Mwigulu Nchemba wameongoza maandamano leo kutoka ofisi ya CCM wilaya ya Mpanda kwenda kwenye Uwanja wa Shaulili ambapo wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya watu. Hakika wana Mpanda wameikubali sana CCM.
Nimelipenda hili bango ujumbe ni kuwa CCM wanakiri ni chama cha mafisadi lakini sio wao tu asante sana mbeba bango tumekuelewa na chama kimekuelewa.
Hakika ccm ya sasa inatia raha kweli.wanachama wa ccm wamependeza kweli hapo.tunaomba waje hata kwetu bukoba kuna masalia yanatusumbua hapa.nape njooooooooo umalize kazi
Huu moto sijui wapinzani watauzima na nini? Nimechungulia eti ratiba za Nape zinakwisha April 2014 nadhani wakati huo wapinzani watakuwa wamekwisha chokwa na wamerekani wanaowapa dola za kufanyia fujo.
Wao hawa hatarishi amani ya nchni?!
Nimependa sana hili bango la Nape, huu ni Ujumbe tosha kuwa CCM imekubali kuwa wanao mafisadi na hawata wafukuza kama walivyotaka kutudanganya!yaani mafisadi wanao na sehemu yao milele maana wao wanaamini wanaweza kuwepo chama chochote!
Kazi kweni watanzania habari mmeipata