CCM yafunga kampeni kwa kishindo jimboni Liwale

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndg Rodrick Mpogolo leo amehitimisha kampeni za mgombea ubunge wa CCM uchaguzi mdogo wa jimbo la Liwale kwa kishindo kwani zimehudhuriwa na maelfu ya wananchi wa Jimbo hilo.

IMG-20181012-WA0102.jpeg
IMG-20181012-WA0106.jpeg
IMG-20181012-WA0107.jpeg
 
Nasikia ccm imewaandalia polisi na wasimamizi wa uchaguzi party ya nguvu jioni hii. Kesho wenye akili timamu hawashiriki huo upuuzi unaiotwa uchaguzi. Kesho jitekenyeni na kucheka wenyewe.
 
Kutakuwa na soda za mapolisi na kunyweshana kama Dar? Tunogeshe wizi tafadhali
 
Kwanini wanapoteza muda kufanya kampeni wakati wasimamizi watakaoteuliwa na Tume ya Uchaguzi watakuwa UVCCM?
 
Back
Top Bottom