CCM yafanya umafia kumzima Dr Slaa Mbeya

CCM yafanya umafia kumzima Dr Slaa Mbeya

Naweza sema umafya ndiyo haswa mbinu pekee inayokubalika na kutumika zaidi na wanasiasa duniani, ingawa kugundulika kwa mbinu hizo kwa chama upande mwingine unatokana mara kadhaa na usaliti uliopo ndani ya chama chenyewe, tatizo ambalo limeonekana kukiathiri zaidi chama changu ccm na serikali yetu, kwani hakuna siri tena si kwa nyaraka ktk maana ya ofisi za serikali kwa mfano Tanroad MBEYA iliwalipa watu fidia zao lakini hata kabla hawajalipwa malipo (vocha)+paylist njenje. rais hata akifanya mkutano na mawiziri watatu kesho utasikia mambo nje, chama kikiandaa chochote kitu utasikia taarifa hiyo kwanza kupitia kwa dr slaa, nataka kusema mwenyekiti wa ccm ake akijua sensor ktk maana ya security system iliyopo ni useless.
 
Kama zote zinamwonyesha Dr Slaa nauza TV zangu zote
NDIYO MAANA UKAITWA MAMA POROJO.
 
Back
Top Bottom