CCM yaendeleza Wimbi la Ushindi Morogoro

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11907176_885772158166446_7739957582816680961_n.jpg
 
hivi wewe MR CHIN hao ccm wanakulipa au uko ccm kuna mume wako??
forum nzima unajaza picha zako za ccm.
NB:mods kama vipi muwe mnaunganisha mada zake zote kwa pamoja sio anakuja kujaza jukwaa na mipicha yake.
ili sio jukwaa la siasa.
 
Abood baba wa waluguru...lazima wampe kura
 
Wakazi wa Morogoro wanatia aibu sana, ujinga wao wa kuing'ang'ania CCM umewafanya hadi leo maendeleo hawana.
Nakumbuka nilienda Morogoro kwa mara ya kwanza mwaka 2009 nilishangaa sana kukuta stendi kuu ya mabasi ni vumbi tupu!
Sasa hivi ndio wamejitahidi lakini bado sana kwakweli.
Morogoro ni jina kubwa sana tofauti na hadhi ya mji huo ilivyo.
Badilikeni.
 
Hakuna watu wasioelewa kama wana morogoro..hawaoni wezao wa Dar..walivyoonyesha mfano na Tz nzima inazizima kwa nyomi ya ufunguzi ule!..waluguru mnatuaibisha..mnakuwa kama Dodoma kwa wagogo..nyumba za tembe bado wanaikumbatia ccm..jamani muda wa kumtoa mkoloni mweusi ni mwaka huu tukishindwa ndo basi tena tutakuwa tumeisaliti generation nzima..watoto na wajukuu zetu watatupiga laana!
 
Mr Chin ccm wanajichapia mpaka wamekupa mimba

Wakazi wa Morogoro wanatia aibu sana, ujinga wao wa kuing'ang'ania CCM umewafanya hadi leo maendeleo hawana.
Nakumbuka nilienda Morogoro kwa mara ya kwanza mwaka 2009 nilishangaa sana kukuta stendi kuu ya mabasi ni vumbi tupu!
Sasa hivi ndio wamejitahidi lakini bado sana kwakweli.
Morogoro ni jina kubwa sana tofauti na hadhi ya mji huo ilivyo.
Badilikeni.
[h=3]PICHA UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI[/h]

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini Fikiri Juma akimnadi Mgombea Ubunge Wa Jimbo hilo Mh Aziz Abood wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Jimbo hilo.Ikumbukwe Mh aziz Abood anatetea Kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo Mara baada ya Kuongoza Jimbo hilo kwa Miaka 5 Kwa mafanikio ya Hali ya Juu.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwaasa wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini Kumchagua MH John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Akiwahutubia Mafuriko ya wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Ubunge za Jimbo hilo

Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa Kmpeni za Ubenge na Madiwani wa Jimbo hilo
​
 
Hakuna watu wasioelewa kama wana morogoro..hawaoni wezao wa Dar..walivyoonyesha mfano na Tz nzima inazizima kwa nyomi ya ufunguzi ule!..waluguru mnatuaibisha..mnakuwa kama Dodoma kwa wagogo..nyumba za tembe bado wanaikumbatia ccm..jamani muda wa kumtoa mkoloni mweusi ni mwaka huu tukishindwa ndo basi tena tutakuwa tumeisaliti generation nzima..watoto na wajukuu zetu watatupiga laana!
Mkuu kuna mtu wa Morogoro huwa nashindana nae kila siku na kumueleza kuhusu hilo lakini anabisha sana.
Ila tulichokubaliana ni kumpigia kura Lowassa maana nae anataka mabadiliko ila kuhusu huyo Abood wao humuambii lolote.
Waache waendelee kubaki na mji wao wa vumbi huku wenzao tulishasahau vumbi zamani.
 
Back
Top Bottom