CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

Aina ya watu kama wewe ndo ccm wengi wajinga hasa? Bomdadier ndo nini? unajua ni lini hiyo pesa iliyotumika kununua hizo ndege itarudi?
watanzania wangapi watafaidika na hizo ndege?
mnaoipenda ccm wengi wenu ni wajinga hasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,inaniuma sana yaani ,sijui CCM tufanyeje ili wapinzani wachukiwe kabisa na Watanzania?
 
nafikiri utakuwa unaongelea kukubalika Rwanda kwa swahiba.
 
Uzuri wa kura iwe ya mjinga,mwenye akili,masikini,tajiri huwa inahesabika kwa usawa
"uchaguzi ukiwa wa huru na wa haki, Fisiemu ijiandae kukabidhi madaraka"-------Polepoles'
 
Ni kweli CCM inakubalika ndio maana viongozi wake wanaruhusu maandamano,uhuru wa vyombo vya habari,demokrasia haijaminywa,tumeshuhudia uchaguz huru na wa haki haswa kwenye by election za madiwan na wabunge kote huko mmeshinda kwa kishindo!
Stupid.
 
11523BFC-3E3F-4230-99EC-8723BCC6C185.jpeg
 
Back
Top Bottom