CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

Hiyo source ya hizo taarifa kidogo ina ukakasi, angalau ingetoka kwenye neutral newspaper kama vile the Economist
Sidhani kama bado lipo mitaani maana hakuna wa kulisoma
 
Hivi unaelewa unachokiongea?kama jambo hajalielewa achana nalo.
CCM Chama imara na kinaendelea kupendwa na wananchi kila inapoitwa leo.
Fanya uchunguzi omba page kwenye gazeti lolote kupinga hoja hii kwa tafiti.
Kakojoe ulale wewe kibindankoi
 
Back
Top Bottom