CCM yaendelea kukubalika na Watanzania wengi

Binti255

Senior Member
Nov 28, 2016
126
160
Je, unataka kujua kwanini Chama cha Mapinduzi(CCM) kinakubalika na wanatanzania wengi?.

Soma; Gazeti la Uhuru Aprili 5,2018

IMG_3757.JPG
 
Ila inaniuma sana pale ninapoona viongozi wa upinzani wakitoka ndani wafuasi wao wanawapokea kwa shangwe,pamoja na kununua bombardier Watanzania bado tu hawaelewi sijui wanataka nini?
 
Ni kweli CCM inakubalika ndio maana viongozi wake wanaruhusu maandamano,uhuru wa vyombo vya habari,demokrasia haijaminywa,tumeshuhudia uchaguz huru na wa haki haswa kwenye by election za madiwan na wabunge kote huko mmeshinda kwa kishindo!
 
Hiyo source ya hizo taarifa kidogo ina ukakasi, angalau ingetoka kwenye neutral newspaper kama vile the Economist

Kama inakubalika kiasi hicho kwa nini nguvu kubwa inatumika kuzuia shughuli za wapinzani? wanaharakati? na dissidents
 
Ila inaniuma sana pale ninapoona viongozi wa upinzani wakitoka ndani wafuasi wao wanawapokea kwa shangwe,pamoja na kununua bombardier Watanzania bado tu hawaelewi sijui wanataka nini?

Aina ya watu kama wewe ndo ccm wengi wajinga hasa? Bomdadier ndo nini? unajua ni lini hiyo pesa iliyotumika kununua hizo ndege itarudi?
watanzania wangapi watafaidika na hizo ndege?
mnaoipenda ccm wengi wenu ni wajinga hasa.
 
Je, unataka kujua kwanini Chama cha Mapinduzi(CCM) kinakubalika na wanatanzania wengi?.

Soma; Gazeti la Uhuru Aprili 5,2018

View attachment 734902
Hivi hicho chama chako kinakubalika, kinashindana na kina nani?! Kinakubalika mngekataa ushauri wenye nia njema wa viongozi wa dini juu ya katiba ?!

Bora hata kina CUF na CDM pamoja na shida hizi, lakini wana wafuasi walio tayari kwa lolote si hao wanategemea vyombo vya dola
 
hizi harakati za ccm zina siri kubwa sana nayo ni kura hazikutosha kabisa 2015
 
Back
Top Bottom