CCM yaangukia pua tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaangukia pua tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gkalunde, Aug 2, 2011.

1. g

gkalunde Senior Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Mar 30, 2011
Messages: 108
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kijiji cha Kaseke juu jimbo la Kigoma Kusini kimelindima kwa shangwe baada ya mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya CCM Naftari Bitonze kubwagwa chini na ABEL KENGANA wa CHADEMA kwenye kesi ya uchaguzi iliyoamuliwa leo na mahakama wanakijiji wanamtuhumu Naftari na chama chake cha CCM walichakachua matokeo ya uchaguzi pia Naftari anatuhumiwa kwa wizi na ofisi ya CCM ya kijiji imechomwa moto chanzo cha habari shuhuda aliyepo eneo la tukio amenijuza yanayoendelea huko kijijini sasahivi kwa njia ya simu nitaendelea kuwajuza yanayoendelea kadili ninavyopata habari.

2. mfereji maringo

mfereji maringo JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 1,003
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
ccm imelaaniwa na hiyo ndiyo laana yenyewe hadi kufika 2015 hakuna ccm wala magamba.

3. M

Mapujds JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Mapambano ya mageuzi yanaendelea.

4. jogi

jogi JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,801
Trophy Points: 280
ufalme umekwisha fitinika, halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa!!

5. VIKWAZO

VIKWAZO JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 1,910
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
yaani sasa hivi watu wa mjini tu ndio wanayoiangusha nchi vijijini watu wameamka na wanafanya kazi ya kulinda haki yao

nenda UKONGA jijini DAR waulize mbunge huyo wapi? hahahahahahahahaha
CCM kila siku walikuwa wanasema uongo kwamba wana wanachama jijini kuliko mjini mimi
sasa naona hii ni kama uongo walikuwa wanatupumbaza ili watu wasijue kula nyingi wanapata mjini
hasa DAR hapa wanachakachua sasa

hakuna anaye jali wanasema wao sio wanasiasa PUMBAVU wachafoleni iwatie adabu

6. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,569
Likes Received: 105
Trophy Points: 145

nataka nirudie kusema kwamba dsm kuna watu wanafiki kuliko mahali pengine popote ndani ya nchi hii ukonga ikiwamo

7. M

Mfwatiliaji JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 1,325
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Mkuu Vikwazo,
nadhani kuna ukweli mwingi kwenye maelezo yako

8. Papizo

Papizo JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Feb 24, 2008
Messages: 4,611
Likes Received: 392
Trophy Points: 180

Aisee mkuu umeongea ukweli mtu na siku zote siku njema huonekama asubuhi na mapema so hawa jamaa tunaona dalili ya kila jambo so lazima kula naona sahani mojaz.z.z..z

9. Mbaliche

Mbaliche JF-Expert Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 292
Likes Received: 22
Trophy Points: 35
kama ccm itafika 2015 basi tusahau kama ita kufa tena

10. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
no comment!!!

11. g

gkalunde Senior Member

#11
Aug 2, 2011
Joined: Mar 30, 2011
Messages: 108
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Yaani kijijini huku ni shangwe tu kinamama,vijana,watoto na wazee wanashangilia barabarani wakiimba Obama kashinda!Obama kashinda!yaani nifuraha tu mpaka sasa huwezi amini kabisa watu wamejaa barabara wote wanaongelea ushindi tu.wanaomba uchaguzi iliwanaye mtaka wamchague tena ABEL,sasa mambo ya ukombozi yameiva.

12. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#12
Aug 2, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Tumekupata vema Kamanda! Mapambao yanaendeleaaaaaaaaaaaaa!!

13. F

Froida JF-Expert Member

#13
Aug 2, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 7,903
Likes Received: 1,330
Trophy Points: 280
Mabadiliko yameshafika kinachonifurahisha ni jinsi wanavyoikataa CCM na kuwa na furaha ya ziada pale haki yao inapopatijana nadhani wananchi wako mbele zaidi ya vyama wanavyofikiri

Loading...