Huko tayari ccm haiko madarakani.Labda yawe maandamano ya kumwondoa rais madarakani.Sehemu nyingi huko halmashauri na local govts tayari zinaongozwa na chadema.Labda anayo hoja, kwa maana hata mimi sijawahahi kwa kweli kusikia maandamano Makubwa Moshi, kama vile sehemu nyingine kama Mwanza, Mbeya, Mtwara na sasa Shinyanga, au labda inawezekana pia labda Kilimanjaro hawahitaji kubadilishwa labda wameshabadilika tayari, kila kitu kinawezekana!
Labda anayo hoja, kwa maana hata mimi sijawahahi kwa kweli kusikia maandamano Makubwa Moshi, kama vile sehemu nyingine kama Mwanza, Mbeya, Mtwara na sasa Shinyanga, au labda inawezekana pia labda Kilimanjaro hawahitaji kubadilishwa labda wameshabadilika tayari, kila kitu kinawezekana!
Huko tayari ccm haiko madarakani.Labda yawe maandamano ya kumwondoa rais madarakani.Sehemu nyingi huko halmashauri na local govts tayari zinaongozwa na chadema.
Hahahahahaa! Kawaida yenu matusi na kejeli, ndo tofauti yenu na sisi! Tuko bize kuhudumia wananchi hatuna muda wa kukaa vijiweni kujifunza matusi
Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee
Hiki kizazi cha division ziro kina changamoto kubwa sana kwa jamii yetu ya watanzania hivi sasa! Kama walimu huwa wanadhani wanaigomea serikali, basi kwa hakika huwa wanajigomea wenyewe, maana matokeo yake ndiyo kama haya sasa unakuwa na watu ambao hata kutoa wazo lenye kutosha sentensi moja tu inamuwia shida. Halafu wakishatoka na hizo ziro wanarudi kuwasumbua watu mitaani wakiwemo na walimu wenyewe.Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee
Huko tayari ccm haiko madarakani.Labda yawe maandamano ya kumwondoa rais madarakani.Sehemu nyingi huko halmashauri na local govts tayari zinaongozwa na chadema.
Hiki kizazi cha division ziro kina changamoto kubwa sana kwa jamii yetu ya watanzania hivi sasa! Kama walimu huwa wanadhani wanaigomea serikali, basi kwa hakika huwa wanajigomea wenyewe, maana matokeo yake ndiyo kama haya sasa unakuwa na watu ambao hata kutoa wazo lenye kutosha sentensi moja tu inamuwia shida. Halafu wakishatoka na hizo ziro wanarudi kuwasumbua watu mitaani wakiwemo na walimu wenyewe.
Kwa hiyo sehemu wanazotoka viongozi wa chama ndiyo maeneo ya chama husika? Kwa msingi huo CCM eneo lao ni Bagamoyo na Arusha kwa kuwa huko ndiko anakotoka Kikwete na Abdulahman, si ndiyo? Kwa hiyo mnataka sasa hivi tuanze kugawana nchi kivyama. Kwamba CUF ni ya Tabora, CCM Pwani, Chadema Kilimanjaro? Ndiyo uwe utaratibu huo? Hivi ulilifikiri hili jambo kabla ya kuanza kuandika huu uzi? Muwe mnatumia akili japo kidogo hata kama ni za kuazima!
Unaweza kuniambia sababu za maandamano hayo?Maana nilikutolea mfano kuwa "labda yawe ya kumwondoa rais madarakani",sababu za maandamano ya Mwanza ni zipi?Kila mkoa una changamoto zake tofauti na mikoa mingine,na kudeal na changamoto hizo ni kwatofauti respectively.Mbona hata Mwanza inaongozwa na CHADEMA lkn kila siku maandamano?
Nadhani tunazungumzia sehemu zinazoongozwa na chadema na zilizoongozwa na chadema/upinzani kwa muda mrefu sana ie Moshi mjini.Ni kweli Same wanaongoza Chadema, Moshi Vijijini wanaongoza Chadema, Simanjaro wanaongoza Chadema, Arumeru Magharibi wanaongoza Chadema, Siha wanaongoza Chadema, Hanang wanaongoza Chadema, Monduli wanaongoza Chadema, Mwanga wanaongoza Chadema, Babati wanaongoza Chadema.
Unaweza kuniambia sababu za maandamano hayo?Maana nilikutolea mfano kuwa "labda yawe ya kumwondoa rais madarakani",sababu za maandamano ya Mwanza ni zipi?Kila mkoa una changamoto zake tofauti na mikoa mingine,na kudeal na changamoto hizo ni kwatofauti respectively.
Kwa mfano kama wananchi hao wanaandamana kuhusu rasilimali zao ie madini,hilo(pamoja na mengineyo),wana haki ya kudeal nalo kwa namna wanayoona inafaa.