Bulembo hana jipya ila CCM kwanza elimu baadae..Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe
Kada wa ccm bulembo
amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila
maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na
naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe
Hivi kuna mtu mwenye akili aliyebaki CCM?
Wanajamvi naomba kusahihishwa endapo nimekosea.