CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
What goes around, comes back around... ANY ACTION HAS EQUAL AND OPPOSITE REACTION

Marehemu, enzi za uhai wake, alipambana sana na hao wanaopambana naye sasa...
 
Bavicha wanamchukia JPM kwa sababu aliwachukuwa Katambi na Silinde na bavicha ikafa kibudu!

Unaharibu uzi wa watu. Wenyewe wameshasahau habari za gaidi wako katika civil war na kombaini ya Msoga/Kojani wewe unawaletea mambo ya Bavicha. Juzi missile la Neptune limerushwa kwa satellite tokea Washington na kutikisa vikali ngome ya legasi. Wenzio wanahaha kujibu mashambulizi wewe unaleta utani.

Amin nakwambia, bado kitambo kidogo watakuuliza kwani Bavicha ndio nani? Utashangaa kuwa wameshasahau kuwa Lema, Lissu na Mbowe ni mahasimu wao wakuu!
 
CCM na serikali ya Samia Ni dhaifu Sana aise hawana ubunifu na mikakati ya kujipambanua kiutendaji ili wajijengee popularity ba confidence mbele ya watanzania zaidi wameajili vikundi vya kupiga taarabu na vijembe kwa magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii je tutakula na kushiba taarabu hizo ,pigeni kazi mueleweke,Sasa hivi Ni kulabata tu hakuna kazi tena
 
SSH akiongeza miaka mingine mi5, nchi hii itakuwa vipande vipande, udini na ukabila vitashamili
 
Team jiwe waliishi kama malaika leo wanaishi kama mashetani
 
Uanajua kwa nini mnapambana wenyewe kwa wenyewe ......
Hakuna uchaguzi utakaoamuliwa na wananchi la zaidi watu wanaweweseka ishu ya "nomination " ndani ya chama......
Watu wanaogopa kuliwa kichwa katika mchujo ......
Ndo maana watu wanaruka na kukanyagana
 
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
Kila siku Mama Samia na kundi lake uaji wanatufanya tutoe machozi. Iko siku machozi yetu yatajibiwa. Naamini Mungu huwa anajibu maombi na wenye haki huwa Mungu anawajibu. Yeye anaweza kudhani anapatia ila hasira iliyopo ni kubwa sana hasa ukizingatia anaonekana kuzihaki wazi wazi huku akirusha kejeli kwa Dkt Magufuli wetu. Tena nasikia leo muislamu Zitto kasema eti tukazikwe na Dkt Magufuli, yaani kweli Mama anakubali watu wa dini yake kututukania Mkristo mwenzetu????
 
CCM ya Samia haina shabaha za maendeleo imebaki kupambana na marehemu magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yaani CCM Samia inamuogopa magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii utadhani Yuko hai !!!!!!! Je Sasa angekuwa hai vipi ?????????????????????? Moto wake nadhani ungeweza kumjambisha mtu uharo was rangi ya urujuani
 
Tutamsema marehemu adi nasi tuwe marehemu huwezi tumia madaraka yako kutesa na kuumiza watu afu tusiyaseme.

Lakini mbona rais wa ccm wa sasa anazindua miradi kila siku yuko kwenye tbc au unazingumzia miradi ipi?
Huyo atakuwa anataka mradi wa VIROBA VYA MAITI cocobeach na mto ruvu
 
Mama Samia anaupiga Mwingi sana.
Hilo halina ubishi.
Mama Samia ni Kiongozi.
Atuletee TU katiba mpya Kisha atawale milele kama Malkia wa Uingereza

Tanganyika iwe na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa JMT.
Zanziba iwe na Rais na Makamu wa pili wa Rais wa JMT na JM wa Tanzania iwe na Rais Wa Maisha ambaye ni Mama Samia.

Mambo ya Marehemu Magufuli na Sumaku gang sijui CCM na chawa zake ni mambo ya watafuta madaraka TU hayana tija Kwa Taifa
Ili hii nchi ipone ni lazima CCM ife chini ya Katiba yake iliyoiumba.
Hakuna mbegu inayoota bila kufukiwa ardhini na kufa na kuoza.
CCM ikiwa hai milele Taifa hili litakufa milele. CCM ikifa italihuisha Taifa hili. Tena CCM ikijiua yenyewe inaeweza ikafufuka lakini ikisubiri ikauawa na wananchi itakufa na kuzikwa milele.

Rais Samia weka katiba mpya yenye miiko ya uongozi.
Mifumo Bora ya Dola itakufanya uongozi nchi hii bila stress. Nchi hii Rais Hana Raha mpaka mana anafanya Yale yanayowafurahisha wezi na wapigaji huku yeye akiwa kama chambo Cha kuwanufaisha makada ambao wengi walitafuta Taifa hili mpaka wanavimbiwa na kula majivu ya maiti za wanyonge.

Haiwezekani Mtumishi wa umma Kwa miaka mitatu au mitano awe Bilionea kushindana na Wafanyabiashara walioanza biashara miaka ya 1980 huku ofisi yake ikinyooshewa vidole Kwa ufisadi lakini tume ya maadili inakosa nguvu ya Kikatiba kumwajibisha Kwa sababu Tume na Wanayetamani kumchunguza wote ni wateuliwa wa Rais. Kama Jambazi aliyevamia Clauds na Waziri wa Habari wakati ule. Waziri alipepwrushwa na hakuna kufungu Cha katiba kilichomsimamia.

Unakuta Wilaya maskini inabeba wateuliwa wa Rais watatu wa kula tu Kodi za wananchi wakati mipango yote Iko Dodoma.
 
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
Samia hawezi kueleweka kama hatajitenga na marehemu Magufuli, lazima atubu kwa niaba yake Magufuli na kwa niaba ya Samia mwenyewe. Magufuli alitesa wengi sana hilo linahitaji mjadala wa kitaifa.
 
SUKUMA GANG kwa ripoti ya CAG tu,mkubali kuwa vichwa vyenu vimegeukia KIBRA Sasa hivi sisi wenye nchi YETU yaani watanzania sio nyie WARUNDI tuna ugomvi ndani ya chama nani achinje kati ya Mama SSH au KINANA ,mie nimeshauri mavyombo ya dola tisisiemu,TAKUKURU,polisisiemu ya Mama SSH yashughulikie waliopo serikalini Madc,,Marc,maras,madas,maded na Kinana awashughulikie wateule na wale wote waliochafua uchaguzi mkuu waliopitia Ushindi wao CCM,kama wabunge,na ndani ya chama makatibu wilaya,mkoa wanec na cc futilia mbali wapotee kabisa anga za Lumumba na Chamwino,hivi hawajifunzi kwa Ndugai kweli Hawa sio Watanzania .
 
Tuombe muda ukifika tuwepo maana hii nchi Ina Raha zake kila kitu kosa la marehemu kweli maendeleo yatakuja kwa kupambana na kivuli
 
Wewe msifu kwa mazuri aliekufanyia mjomba yako na waliofanyiwa mabaya waache wamsifie kwa mabaya waliofanyiwa.

Silazimishe jiwe aonekane bora kwa mema uliofanyiwa wewe ilhali kuna watu hatamsahau kwa mabaya waliofanyiwa, kama kweli Ben saa 8 alipotezwa na Jiwe unafikiri wazazi, ndugu na maswahiba wa Ben watakuwa upande wako?
Ben alipotea,mwangosi alimwagwa utumbo akafa,achikoyo kutawala watu si mchezo hata Leo watu wanakufa tu.
 
Kwa viwango na maono ya Magufuli hawa wanaomchafua wanaonekana makumbikumbi tu. Kama ni kufa kila mtu atakufa hata hao waliomuua Magufuli. Suala la msingi ni legacy ya maisha yake na katika hili mwamba atabaki katika kumbukumbu za marais wawili bora kabisa wa taifa hili vizazi hadi vizazi.
Huwezi kuumiza watu hi alafu ukawa Bora, huwezi kuamua uchaguzi unavyotaka wewe halafu ukawa Bora, huwezi kuulizwa na CAG tri. 1.5 ziko wapi halafu ukamfukuza ukawa Bora, huwezi kujenga uwanja wa ndege wa Kimataifa kwenu bila idhini ya bunge halafu cc ukawa bora. Hebu amkeni.
 
Back
Top Bottom