CCM ya sasa ni alama ya Uovu

Mkuu hapo sijazungumzia uchaguzi:

Kuna kuingiza kura fekikwenye sanduku la kura, kteka wagombea wa upinzani wanaporudisha fomu, kupita bila kupingwa, kuwanyima wapinzani barua za mawakal(ref yule shetani Kagurumujuli alichofanya kikasababisha kifo cha Acquerina) kuiba masanduku ya kura na kukimbia nayo, Tume ya ccm kutojibu malalamiko ya ya wananchi, kuvuruga kampeni za wapinzani, kwazuia wapinzani kufanya kampeni, kutangaza washindi feki, na mbinu zingine chafu. Actually shetani amepiga kambi Lumumba
Wanafanya ushetani wote. Fikiria mtu anatengeneza kundi la utekaji, limteke na kumpiga mgombea wa upinzani, anatangazwa amepita bila kupingwa, halafu bila aibu anaenda kanisani au msikitini, analazimisha apate nafasi ya kusimama madhabahuni, na kujifanya anahubiri upendo.

Uovu aliomtendea mgombea mwenzake anaona hautoshi, anathubutu kwenda kuinajisi madhabahu ya Mungu!! Hawa wanaenda kuchota laana yao na vizazi vyao. Mbaya zaidi hawa ndio wanaotuongoza, halafu tunatarajia nchi ipate maendeleo!!

Tanzania hatua ya kwanza ya maendeleo itapatikana siku CCM itakapokuwa imeondolewa, na watu wakajitenga na uovu wa CCM.
 
Ukizungumzia rushwa, CCM ndiyo nyumbani kwake.

Ukizungumzia mbinu chafu za kishetani ili kupata vyeo, including ushirikina, kwa CCM ni jambo la kawaida.

Kunyanyasa watu ili mtu apate cheo (ref. majimbo yote ya kupita bila kupingwa), kwa CCM huonekana ni ushujaa.

Wizi, upendeleo, ufisadi ni tabia za kuitambulisha CCM kuliko kitu chochote.

Haya yanayoitambulisha CCM, bila shaka, inaashiria CCM inaishi na shetani. Ndiyo maana ni nadra sana kumwona mtu anayemwabudu na kumwamini Mungu wa kweli, ambaye anasisitiza upendo wa kweli baina ya wanadamu, halafu awe kada wa CCM.

Wanaiba pesa za umma bila ya kuwafikiria watu maskini wanaolipishwa kodi hata kwenye mapato yao duni kabisa (report za CAG huthibitisha jinsi wakubwa wa CCM wanavypiba na kufuja pesa ya umma, na chama chao kikiwabariki maana imekuwa kama itikadi yao).

Hazina ya wananchi, huporwa na CCM ili ikatumike katika kutekeleza uovu wa kwenda kuwahonga wapiga kura wakati wa uchaguzi (Hayati Mkapa alikiri hilo na kujutia kuwezesha uovu huo akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Mungu mwenye huruma amjalie msamaha kamili kwa majuto yake siku chache kabla ya kuhitimisha maisha yake ya Duniani).

Kwa sasa, CCM ni alama ya uovu. Jitengeni na muovu ili mpokee baraka.
ukitazama upinzani katika ujumala wake,
unaona sura za chuki, tamaa ya mali, vyeo na madaraka, ubinafsi ulopindukia, uchu usiomithilika, uadui wa waziwazi, kutokuaminiana na kuogopana kuliko dhahiri kabisa na kwakweli mpasuko na mgawanyiko mithili ya ghaza na ukingo wa magharibi,
ambao huoni wala hakuna matumaini siku moja wanaweza kua na mtazama moja angalau, jamii ya wengi Tanzania ikawa na tumaini jipya.

kilicho dhahiri, ni kwamba upinzani unajitahidi kwa bidii sana kujigawanya na kutengeneza nafasi na uhakika usio na shaka kwa ccm kushinda na kutawala milele.....
 
Mimi nilishachora mstari nikiona unashabikia ccm nakaa na wewe kwa machale sana.
 
Chama Cha Mapinduzi
tapatalk_1519520813963.jpg
 
ukitazama upinzani katika ujumala wake,
unaona sura za chuki, tamaa ya mali, vyeo na madaraka, ubinafsi ulopindukia, uchu usiomithilika, uadui wa waziwazi, kutokuaminiana na kuogopana kuliko dhahiri kabisa na kwakweli mpasuko na mgawanyiko mithili ya ghaza na ukingo wa magharibi,
ambao huoni wala hakuna matumaini siku moja wanaweza kua na mtazama moja angalau, jamii ya wengi Tanzania ikawa na tumaini jipya.

kilicho dhahiri, ni kwamba upinzani unajitahidi kwa bidii sana kujigawanya na kutengeneza nafasi na uhakika usio na shaka kwa ccm kushinda na kutawala milele.....
Hii haitoshi mkuu, toa mifano halisi ya viongozi wa upinzani ambao wamejaa chuki , ubinafsi na tamaa ya madaraka. Otherwise, hii naichukulia kama juhudi za kukatisha tamaa. Kuna Wewe unaaamini ccm itatawala milele. W. Well, trust me, hakuna chama Cha siasa kilichodumu milele katika historia ya Dunia mpaka Sasa. Kwa tamaa ya madaraka, wizi na ufisadi ulioko ndani ya ccm, mwisho wake uko humohumo.. Yaani ndani ya wizi na ufisadi na tamaa ya Mali na madaraka ndimo lilimo anguko la ccm. CCM is engineering its own downfall.
 
Mc
Umetuacha solemba ,stori zawale watu wanaopewa majina ya vitongoji au mitaa zimeishia wapi mkuu
dah nitarudi mzee ngoja kwanza ni solve hii financial crisis... Sema mods kwa kubadilisha title za threads wanazingua
 
Hii haitoshi mkuu, toa mifano halisi ya viongozi wa upinzani ambao wamejaa chuki , ubinafsi na tamaa ya madaraka. Otherwise, hii naichukulia kama juhudi za kukatisha tamaa. Kuna Wewe unaaamini ccm itatawala milele. W. Well, trust me, hakuna chama Cha siasa kilichodumu milele katika historia ya Dunia mpaka Sasa. Kwa tamaa ya madaraka, wizi na ufisadi ulioko ndani ya ccm, mwisho wake uko humohumo.. Yaani ndani ya wizi na ufisadi na tamaa ya Mali na madaraka ndimo lilimo anguko la ccm. CCM is engineering its own downfall.
yaani umekaa mahala na matumaini kabisa mtu mzima mwenye akili timamu kwamba Lipumba atakaa meza moja na Mbowe, wakubaliane na zito kabwe, Joseph Selasini aseme ndio Mzee, kisha Hashimu Rungwe Sipunda aunge mkono halafu, John Momose Cheyo akubali, huku John Shibuda sauti ya wakulima afurahie Dr slaa, mwambukusi lazma watasema wapuuzi nyie vibaraka wa CCM msinitumbue......

baadae cck, Umoja Party, DP, DA, SAU na kile cha dovutwa na vingine vingi ambavyo havipendi maigizo na mazingeumbwe, vitajikalia zao kando...

na halafu taratibu bila maringo wala tashwishwi yeyote vinajipanga nyuma ya CCM pasina shaka.........
 
Ukizungumzia rushwa, CCM ndiyo nyumbani kwake.

Ukizungumzia mbinu chafu za kishetani ili kupata vyeo, including ushirikina, kwa CCM ni jambo la kawaida.

Kunyanyasa watu ili mtu apate cheo (ref. majimbo yote ya kupita bila kupingwa), kwa CCM huonekana ni ushujaa.

Wizi, upendeleo, ufisadi ni tabia za kuitambulisha CCM kuliko kitu chochote.

Haya yanayoitambulisha CCM, bila shaka, inaashiria CCM inaishi na shetani. Ndiyo maana ni nadra sana kumwona mtu anayemwabudu na kumwamini Mungu wa kweli, ambaye anasisitiza upendo wa kweli baina ya wanadamu, halafu awe kada wa CCM.

Wanaiba pesa za umma bila ya kuwafikiria watu maskini wanaolipishwa kodi hata kwenye mapato yao duni kabisa (report za CAG huthibitisha jinsi wakubwa wa CCM wanavypiba na kufuja pesa ya umma, na chama chao kikiwabariki maana imekuwa kama itikadi yao).

Hazina ya wananchi, huporwa na CCM ili ikatumike katika kutekeleza uovu wa kwenda kuwahonga wapiga kura wakati wa uchaguzi (Hayati Mkapa alikiri hilo na kujutia kuwezesha uovu huo akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Mungu mwenye huruma amjalie msamaha kamili kwa majuto yake siku chache kabla ya kuhitimisha maisha yake ya Duniani).

Kwa sasa, CCM ni alama ya uovu. Jitengeni na muovu ili mpokee baraka.
Unalinganisha na nini?
 
Sina matumaini hayo, Wala siamini kama wapinzani wakiungana ndipo wataing'oa CCM... Kuna chama kimoja kitaiondoa ccm madarakani, iwe 2025 au miakaa mingi ijayo. It will happen. Kuamini ccm itakaa madarakani milele ni kujilisha upepo TU.
 
kwa mgawanyiko uliopo upinzani?
Thubutu, hawa CCM hata wavurunde namna gani hakuna kachama eti kamoja kaling'oe hilo jabali la chama Tanzania.

Nnnnnneverrr nakwambia nnnnnneverrr........
 
Ukizungumzia rushwa, CCM ndiyo nyumbani kwake.

Ukizungumzia mbinu chafu za kishetani ili kupata vyeo, including ushirikina, kwa CCM ni jambo la kawaida.

Kunyanyasa watu ili mtu apate cheo (ref. majimbo yote ya kupita bila kupingwa), kwa CCM huonekana ni ushujaa.

Wizi, upendeleo, ufisadi ni tabia za kuitambulisha CCM kuliko kitu chochote.

Haya yanayoitambulisha CCM, bila shaka, inaashiria CCM inaishi na shetani. Ndiyo maana ni nadra sana kumwona mtu anayemwabudu na kumwamini Mungu wa kweli, ambaye anasisitiza upendo wa kweli baina ya wanadamu, halafu awe kada wa CCM.

Wanaiba pesa za umma bila ya kuwafikiria watu maskini wanaolipishwa kodi hata kwenye mapato yao duni kabisa (report za CAG huthibitisha jinsi wakubwa wa CCM wanavypiba na kufuja pesa ya umma, na chama chao kikiwabariki maana imekuwa kama itikadi yao).

Hazina ya wananchi, huporwa na CCM ili ikatumike katika kutekeleza uovu wa kwenda kuwahonga wapiga kura wakati wa uchaguzi (Hayati Mkapa alikiri hilo na kujutia kuwezesha uovu huo akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Mungu mwenye huruma amjalie msamaha kamili kwa majuto yake siku chache kabla ya kuhitimisha maisha yake ya Duniani).

Kwa sasa, CCM ni alama ya uovu. Jitengeni na muovu ili mpokee baraka.
Naam naam
Chama kiovu kinacholindwa na serikali dhaifu
 
Back
Top Bottom