Tanganyika Arms inatakiwa itembelewe na kila Mtanganyika, kama wamasai wameweza na sime, hata vyuma itawezekana tu, heshima irudi chap.Umeongea ukweli mtupu. Wakisikia neno Tanganyika wanavurugwa kabisa. Huwa hawaoni aibu kusema Tanganyika ilikufa 1964! Hakuna Tanganyika, badala yake kuna Tanzania Bara! Huu no upotoshaji wa wazi kabisa.
Tanganyika haijawahi kufa, na haitatokea kufa! Isipokuwa huu muungano wao wa kinyonyaji wa changu changu, chako changu na ccm yenyewe ndiyo wanapumulia mashine.