CCM ya Matumaini

CCM ya Matumaini

Wapinzani waache hila na ukorofi wa zama za Lema, kila siku kutaka maandamano. Wananchi wataka siasa safi inayoleta maendeleo. Siyo kupinga kila kitu.
Ona huyu Zwazwa, MATAGA mna shida sana nyie.
 
Ninafarijika,

CCM imerudi kwenye Mikono salama,

Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2. Ubaguzi wa wengine
3. Tukubali Kukosolewa
4. Wapinzani ni ndugu zetu
5. Isimamie Serikali kuleta umoja
6. Isimamie serikali kuajiri

MAMA SAMIA TUNAKUSIHI SANA ULETE MSHIKAMANO

Britannica
jiandae mama,ukipenda boga usitupe maua.

hayo ndio maua ya CCM yenu,yako sambamba kabisa na hivyo ndio viambatanishi vyake.
 
Ninafarijika,

CCM imerudi kwenye Mikono salama,

Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2. Ubaguzi wa wengine
3. Tukubali Kukosolewa
4. Wapinzani ni ndugu zetu
5. Isimamie Serikali kuleta umoja
6. Isimamie serikali kuajiri

MAMA SAMIA TUNAKUSIHI SANA ULETE MSHIKAMANO

Britannica
Hapana rushwa imekuwepo sana kipindi hhiki cha JPM tena sana na rushwa kubwa ambazo zilikuwepo ila hazikuongelewa lakini zilikuwepo rushwa kuanzia juu kabisa ya uongozi hadi chini ila hazikuzungumzwa
 
Hapana rushwa imekuwepo sana kipindi hhiki cha JPM tena sana na rushwa kubwa ambazo zilikuwepo ila hazikuongelewa lakini zilikuwepo rushwa kuanzia juu kabisa ya uongozi hadi chini ila hazikuzungumzwa
kama hazikuonekana wewe umezijuaje??

ulikuwa umezaliwa kipindi cha jk wa msoga au unasikia tu rushwa rushwa rushwa.unawaza elfu mbili mbili za traffic???
 
Magufuli alikuwa na mapenzi mema na nchi yake kwa kiasi kikubwa lakini tatizo lilikuwa jinsi alivyokuwa anatekaleza mambo yake kufikia hayo malengo mazuri.!!! He had no empathy!
Ukisema alikuwa na mapenzi mema na nchi yake nitakukatalia katakata kwasababu hakutaka uwazi katika matumizi ya fedha kitu ambacho kinamuondolea usafi na lipenda sana usiri kwenye matumizi ya fedha nadhan Asad analijua hilo vyema .

Pamoja na mema yake lakini hakuwa msafikama ambavyo mnatumia nguvu kuwaaminisha wasio elewa vyema mifumo yake.
 
Baada ya kujaribu madaraka kwa mtu asiyekuwa na maono ya umoja wa kitaifa, aliyeamini katika ubabe na kupora chaguzi. Ni wakati wa kupigania katiba mpya na taasisi huru nchini.

Katiba iliyopo isipobadilishwa inaweza kuleta tena janga kuliko tulilokuwa nalo
hakuna cha katiba mpywa wala kaniki mpya,mwendo ni ule ule.

tena mama atawabinya kweli kweli maana mna kelele zisizo na malengo maalumu.
 
Yes naunga mkono hoja kwa asilimia 100% sasa ni muda wa kuweka maridhiano ili kuwa na mshikamano.
 
kama hazikuonekana wewe umezijuaje??

ulikuwa umezaliwa kipindi cha jk wa msoga au unasikia tu rushwa rushwa rushwa.unawaza elfu mbili mbili za traffic???
Nielewe nimesema hazikuongelewa sio hazikuonekana rudia kusoma na sababu za kuto kuongelewa kama wewe sio mnafiki unazijua vyema.
 
CCM NI ILE ILE

Oohhh ni ile ile ileeee!

TUME JIPANGA MWAKA HUU WATAISOMAAAA
 
Ninafarijika,

CCM imerudi kwenye Mikono salama,

Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2. Ubaguzi wa wengine
3. Tukubali Kukosolewa
4. Wapinzani ni ndugu zetu
5. Isimamie Serikali kuleta umoja
6. Isimamie serikali kuajiri

MAMA SAMIA TUNAKUSIHI SANA ULETE MSHIKAMANO

Britannica

Mbona huandiki wapinzani waache matusi na kebehi 2010-15. ukitaka kuelewana lazima watu wakubali changamoto. Ukidhani Mama ndo atasolve mambo ya kukosa ustaarabu na chuki unakosea. Akiwa mpole sana watanzania hawatawaliki. Mnaongea sasa kwa kuwa JPM katunyosha na kutuonyesha usanii wetu.
 
Ninafarijika,

CCM imerudi kwenye Mikono salama,

Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2. Ubaguzi wa wengine
3. Tukubali Kukosolewa
4. Wapinzani ni ndugu zetu
5. Isimamie Serikali kuleta umoja
6. Isimamie serikali kuajiri

MAMA SAMIA TUNAKUSIHI SANA ULETE MSHIKAMANO

Britannica
Nia AIbu kwa CCM KUOGOPA KATIBA MPYA na MIKUTANO ya Vyama vya Upinzani kwa kisingizio cha kujenga Uchumi
 
Back
Top Bottom