Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Leo hii mjini Tunduma wana CHADEMA wameionyesha CCM kuwa bado wapo na chama chao na hivyo kuizima kabisa CCM.
Hiyo imekuja baada ya wana Tunduma maelfu kujitokeza kwenye mapokezi ya aliye kuwa Mbunge wao Mwakajoka kwa shangwe na nderemo na kuufanya mji wa Tunduma kusimama kwa muda huku shughuli za uzalishaji mali zikisimama kwa muda.
Hii ni kuionyesha CCM kuwa kama walikuwa na ndoto za kulinyemelea jimbo hilo wasipoteze fedha zao na muda wao kwani wana Tunduma bado wapo na CHADEMA.