Mikataba ya ndege na reli ni siri,kama unafiki basi huu ni mkubwa,mimi kama kada wa ccm roho yangu inanisuta,kama tumeamua kuondoa wizi basi tusichague mikataba ya vikampuni viwili vya madini wakati yako mengi,tena tumechagua vikampuni vinavyokaribia kumaliza uchimbaji na kufunga biashara,na tumekakamaa na mchanga wala sio matofali ya dhahabuWatakuja kukutukana hapa nadhani saivi wameenda kujiandaa na futuru subiri washibe waje wakutapikie matusi yao
Mkuu leo utashambuliwa sana......Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?
Nani kaiona?
Tuache unafiki
Mikataba ya ndege na reli ni siri,kama unafiki basi huu ni mkubwa,mimi kama kada wa ccm roho yangu inanisuta,kama tumeamua kuondoa wizi basi tusichague mikataba ya vikampuni viwili vya madini wakati yako mengi,tena tumechagua vikampuni vinavyokaribia kumaliza uchimbaji na kufunga biashara,na tumekakamaa na mchanga wala sio matofali ya dhahabu
nina wasiwasi na wewe sidhani kama utakuwa mwana ccmNaona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?
Nani kaiona?
Tuache unafiki
Sijasikia kabisaaa!Kwani ile ya Kivuko Kibovu Mikataba au manunuzi yake unayajua?Ameshaiweka wazi hiyo ya Kivuko kibovu??
Kama Wizara ya Ujenzi haifukuliwi makaburi basi ujue siri itakuwepo inamsubiri rais ajae.
Ile mv Mtumba tumeambiwa imegeuka kifaru cha kijeshi hivyo tusihojiKwani ile ya Kivuko Kibovu Mikataba au manunuzi yake unayajua?Ameshaiweka wazi hiyo ya Kivuko kibovu??
Kama Wizara ya Ujenzi haifukuliwi makaburi basi ujue siri itakuwepo inamsubiri rais ajae.
Mwanakijiji njoo ujibu maana wewe una majibu ya kila kitu. Ndege mikataba yake iko wapi?Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?
Nani kaiona?
Tuache unafiki
Hiyo wala huwa haongelei!Na mkataba wa IPTL tuuvunje pia....
Sasa uzalendo wao uko wapi? Siku tukipona unafiki ndo siku tutaanza kuendelea. Mi nilidhani kwamba kwa kila hatua ya kufanya maamuzi yanayoathiri mustakabali wa taifa na siyo kundi dogo au tabaka fulani la watu, subira na consultation kwa wataalamu wetu bila kujali political affiliation zao inahitajika mno.Hiyo wala huwa haongelei!
Wamechagua migodi inayokaribia kufungwa baada ya Dhahabu kuisha.Hiyo wala huwa haongelei!
Mfano mzuri kwamba hafanyi consultation....unaipokea ripoti,hujapata muda kuichambua na watu wako,unaiweka hadharani,Siku hiyo hiyo unafukuza na watu....nilidhani angekaa na wataalam wakaichambua kurasa kwa kurasa!Sasa uzalendo wao uko wapi? Siku tukipona unafiki ndo siku tutaanza kuendelea. Mi nilidhani kwamba kwa kila hatua ya kufanya maamuzi yanayoathiri mustakabali wa taifa na siyo kundi dogo au tabaka fulani la watu, subira na consultation kwa wataalamu wetu bila kujali political affiliation zao inahitajika mno.
Nina wasiwasi Mkuu wetu wa nchi hafanyi hivyo kwasababu ya suffocation ya wanafiki wanaomzunguka. Mikataba ambayo kila mtu anajua ni binding huwa ni kama ugonjwa, kuingia ni rahisi lakini kutoka kunahitaji utaalamu. Sisi tunatumia misuli. Let's see how we fair in the process.
Consultation "alifanya", maana aliomba dharura ya dk 5 akatoka aliporudi wamekwishapitia executive summary wakafanya maamuzi, yakatokea yaliyotokea.Mfano mzuri kwamba hafanyi consultation....unaipokea ripoti,hujapata muda kuichambua na watu wako,unaiweka hadharani,Siku hiyo hiyo unafukuza na watu....nilidhani angekaa na wataalam wakaichambua kurasa kwa kurasa!
Naona tunaweka double standard,tunajifanya kulia na kulaumu uongozi uliopita kuhusu mikataba ya madini na tulivyoibiwa,mbona hatuhoji mikataba ya ununuzi wa ndege iliyosainiwa juzijuzi?
Nani kaiona?
Tuache unafiki