CCM waunda Samia Gang kumtetea Rais Samia

GANG ni kusanyiko haramu lenye Nia OVU.

Gang haisajiliwi popote sababu ya uharamu wake, ndomana hutowakuta BRELA.

GANG na GROUP ni viti viwili tofauti.

Mwanzilishi wa Gang hiyo Awamu hii ELIMU yake haizidi kidato Cha nne failure.
Kwani wewe aliyefeli form four humjui?
 
Hayo makundi yasije kuwa na nguvu kuliko vyombo vya Dola tutarudi kulekule Kwa wasiojulikana,viwe vya kusherehesha tu na sio kuleta mpasuko wa kitaifa sijapendezwa na kusema wanatoka kizimkazi haya makundi yawe ya kitaifa zaidi.
 
Limejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.

Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #Kizimkazi Pemba wingi, litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa Mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.

Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema, vita hivi itakuwa kubwa.

USSR View attachment 2515682
sasa unalia nini ?
 
The President Table | Meza ya Rais.

Wapo twitter, insta na Telegram. Walau naona kidoooooooogo kwa mbali sanaaaa wanaeleweka
 
Nchi inakosa DIRA na MAONO,

Haiwezekani, kiongozi akae mwaka mmoja na kabla ya kumaliza miaka 4 ilobaki, anawaza uchaguzi mwingine.
Sema ccm ni janga la taifa hivyo ni lazima tuiondoe tu ili kama taifa tusonge mbele
 
Hayo makundi yasije kuwa na nguvu kuliko vyombo vya Dola tutarudi kulekule Kwa wasiojulikana,viwe vya kusherehesha tu na sio kuleta mpasuko wa kitaifa sijapendezwa na kusema wanatoka kizimkazi haya makundi yawe ya kitaifa zaidi.
Vipi wewe hutaki kuanzisha kundi la kutoka Ruangwa?
 
Limejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.

Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #Kizimkazi Pemba wingi, litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa Mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.

Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema, vita hivi itakuwa kubwa.

USSR View attachment 2515682
Gang na mercenaries ni mtu na pacha wake
 
Uzuri hili kundi watu hawatapotea, kuozea jela au kupigwa risasi.
Limejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.

Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #Kizimkazi Pemba wingi, litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa Mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.

Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema, vita hivi itakuwa kubwa.

USSR View attachment 2515682
 
Hakuna Samia Gang bali kuna Msoga Gang. Hizi ndiyo kambi mbili kubwa ndani ya CCM ila Msoga Gang ndiyo yenye nguvu zaidi na inaendelea kuifutilia mbali Sukuma Gang hadi kufika 2025 itabaki historia tu.
Hamvijui vita mnavyo pigana sukuma gang ni uzalendo na msoga gang ni ufisadi hivyo sukuma gang itaendelea kuwa na nguvu siku zote wakati msoga gang mnategemea nguvu ya ufisadi tu ambayo ni kinyume na mapenzi ya watanzania walio wengi ....hii ndiyo sababu hadi chadema wamepoteza nguvu kabisa maana yoyote atakaye pambana dhidi ya wazalendo na uzalendo huyo siku zote ni adui wa taifa na watz kwa ujumla
 
Back
Top Bottom