Umasikini wa fikra na mali husababisha taifa kuwa na siasa za kijingajinga zisizolipeleka taifa kwenye mustakabali mwema.
Siasa nzuri ni zile zinazoweka sera nzuri za kuwanufaisha wananchi wote bila kujali chama au mtu mwenye madaraka kwa wakati huo.
Jina la chama au mtu havina maana yoyote katika uchaguzi kwa watu wenye akili, cha muhimu ni sera inayotekelezwa kwa wakati huo (kama inawanufaisha au la).