Limejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo.
Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka #Kizimkazi Pemba wingi, litakuwa la wazawa wa kule anapotokea mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuongeza nguvu kwa chawa wa mama na Chadema ambao kwa sasa wapo na mpinzani wao CCM kwa mujibu wa Mbowe kule mwanza ikiwa ni zao la makubaliano ya ikulu.
Kwa sasa SUKUMA GANG watapata tabu sana maana wanapambana na vikundi vingine vingi vinavyoweza kuibuka kufuata ulaji kama walivyo fanya chadema, vita hivi itakuwa kubwa.
USSR
View attachment 2515682