CCM waumbuka Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waumbuka Bukoba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Plato, Sep 7, 2010.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Kiherehere chao kimewaponza.walikuwa wameweka bango kubwa kikwete akiwa na maaskofu wa kkkt,ALEX MALASUSA, na ELISA BUBERWA, wakaandika eti tunaheshimu uhuru wa kuabudu. Mnamuona kikwete? Maaskofu wasipokuwa makini,atawaingiza mkenge.nawapöngeza wale wa mbeya kugundua janja yake ya nyani.hilo bango baada ya karipio la Ndg Lwakatare,leo limeondolewa.CCM aibu kwenu bkb.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  huyu malasusa mtu hatari sana amekuwa akitumiwa na lowassa kwa muda mrefu na anaipeleka KKKT mahali kusiko takiwa ni mtu hatari narudia tena., maaskofu wa dizaini ni kama methodius Kilaini aliyewahi kusema JK ni chaguo la Mungu , leo kapelekwa Bukoba akapumzike mdomo ulimponza akashindwa kujua RC ni makini.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,115
  Trophy Points: 280
  Aaahhh....huyu kiwete bwana........waislamu walisema hawatampa kura kwa sababu ya kutotimiza matakwa km alivyowarubuni kuwa atawaanzishia mahakama ya kadhi akijua wazi kuwa ni kuvunja sheria za nchi....................baada ya kwaislamu usema hivyo kikwete akajifanya kufanya ukaribu na wakristo eti ionekane amewasahau waislamu na hajali chochote kinachosemwa nao........

  Aalicho kifanaya aliwaita masheikh wote na kuwaomba wawatulize waislamu kwani ana mpango kabambe hata asipoweka kwenye ilani mambo ya oic na kadhi,,,,,,,,,ndiyo maana waislamu wamenyamaza kimya kwani kunba ahadi tamu na wameombwa wasubiri uchaguzi upite.

  Wakristo niliishawatahadharisha mapema hapo kabla kujihadhari na kikwete kwani aliisha kula yamini kuwasaidia waislamu na km ujuavyo misimamo mikala ya kiislamu waliishamwambia sawa tunanyamaza kimya ila ukitudanganya tena albadri itakuwa juu yake na kikwete hana yesu kwa hiyo atakaposomewa albadri kwa kutotimiza matakwa ya waislamu itamuathili sana kwa hiyo atatimiza matakwa ya hao makafili kwa namna yoyote ile................
  Hongera wana mbeya kwa kutokubali kudanganyika.........wachungaji na mapadre igeni mfano huu wa wale wa mbeya.
  Najua cuf ni taasisi ta kiislamu ila nimeshangaa jana kwenye mwananchi wanajinadi kuwa viongozi wa cuf ni kama yesu sijui walimaaniosha nini ila lengo ni lilelile la kutaka kujisafisha kwa maneni wakatio vitendo ni uongo
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Maaskofu ni wataalamu wa philosofia, yeye alitegemea atawatega kwa futari kumbe wakagundua mapema - ha ha ha tutasikia mengi mwaka huu. hizo hela za mabango wangesadia watoto yatima ningewasifu sana.

  Sina uhakika kama wale wenzetu waliifakamia ile futari ya mtego pale ikulu ndogo - swali tu sina nia mbaya.
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  ndugu yangu hongera kwa damu ya yesu

  ila nakuhurumia kwa kuwa mdini pahala pasipo kuwa ndipo. Tanzania inachagua Rais wa kuiongoza Tanzania yenye watu wanaoamini dini yako, dini ya wengine, na wasio na dini. sasa haya yako hayana nafasi cha muhimu tumpate mtu mwenye kuchukia udini, kama kikwete


  sio mtu ambaye anataka kuicatoliki nchi au kuisilimisha nchi.


  na ss tumeona motion ya chadema na tunawaambia hawatali maisha nchi hii kwa mtindo wao huo, mpaka wabadilike, watanzania tunaendelea vema
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuelewa hasa tofauti ya askofu Jery Ngwamba aliempisha Malyasusa, na Malasusa mwenyewe. Jery aliondolewa kwa sababu ya ufisadi na sasa kkt nasikia kuna ufisadi bado kwani kuna askofu kahongwa gari na ccm.
  Jamani hawa maaskofu wanataka kutupeleka wapi?
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kusema Mapadri wanampigia kampeni chinichini Dr. Slaa ni kutoujua ukatoliki kabisa. Ukiwa Padri ukaacha hata kwa kuruhusiwa na Papa kwa Mapadri ni kama usaliti. Kwa wenye upana wa kungamua mambo ndio maana CCM walipoanza kusema Slaa katumwa na Kanisa, Maaskofu walikanusha mara moja isivyo kawaida.

  Kwa wanaojua, Urais wa Dr. Slaa kamwe hauwezi kuwa neema kwa wakatoliki. In fact it may turn out to be the opposite. Ila kwa wenye kuangalia kwenye pua, Dr. Slaa katumwa na Kanisa!! Hivi inakuwaje hata watu wanaoonekana wana busara kwa kuwaangalia usoni wanakuwa wa ovyo ovyo linapokuja swala la udini. Sikutegemea viongozi wakuu CCM wabariki mambo ya ovyo kama haya!!
   
 8. s

  suley Member

  #8
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Would you like to be a politician..?
  if u were a politician, what would be the most important to u; changing ur society for the better or representing the views of the people..?
  most of the time people do have divergent interest based on personal virtues.,as a leader the most superimposed complex and eloquent challenge is that "dualism" lies in either to take up "peoples' egoistic options" or standing for "common good"

  Tanzania is an exceptional case when it comes to the pattern of violence and instability that has prevailed in many parts of Sub Saharan Africa since independence. lakini hili limeonekana si jambo jema kwa mapadri wetu wanaoshinikiza yatokee ya kule mashariki ya kati, sudan, kashmir n.k. ni kwa mwanzo kama huu wa kutoa waraka,kushinikiza serikali katika kutoa maamuzi yanayokandamiza upande mmoja huku baadehi ya wajinga wakishangilia na kuamini kuwa huo ndio ushindi wa ardhi iliyoahaidiwa.
  Ni wazi kuwa sababu zote zinazopelekea mapigano na mifarakano katika nchi za wenzetu hapa kwetu yapo mfano;
  (1)Low GDP Per Capita
  (ii) Chronic Foreign Aid – Dependency
  (iii) Instability in the neighboring countries and
  (iv) Heterogeneous population.


  Na bado watanzania wamekuwa wavumilivu na wakiheshimu miiko yao ya amani na mshikamano,Isipokuwa hili linalopaliliwa makaa wakati huu.,hili la udini litaondoa uvumilivu huu tuliokuwa nao katika kuendesha mambo yetu kama watanzania.,kwa uislamu wake wa jina tu aliokuwa nao kikwete limekuwa tatizo kwa maaskofu na mapadri,ikafikia kummuandalia zengwe zito ili kumuangusha na kumsimika padre mwenzao huku wengine katika makaka wa kanisa na madada wakipigania udiwani na ubunge..,hili linanipa mashaka sana pale ambapo waislamu "kwa ninavyowajua mimi au kama nilivyojengwa kuwafahamu hivyo" waki-counteract hili basi hakuna tutakachokiona isipokuwa ubaya uliozidi maana ya ubaya…!

  Ikiwa hii ni tafsiri ya upinzani basi wafahamu kuwa Conflict and violence may only render the opposition attention in the short run.,watanzania vurugu na ubaguzi sio asili yetu, and they are always ready to turn against any political parties that do not seem committed to preserving peace, persistence of religionalism in opposition politics it will only fall off the seeds of legitimacy ambayo watanzania walianza kupeleka katika upinzani.
  All I can see is, JK is the victim of personal vendetta, so the Muslims….!
   
 9. R

  Reyes Senior Member

  #9
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengine akili zao mbovu sana Eti tunamchukia kikwete kwa sababu ni muislamu lakini hawasemi kuwa tunamkubali Hamad Rashid Mohammed kwa sababu ni mwislamu au Tunamchukia Lowasa kwa sababu ni Mkristo? Tunayachukia mafisadi kama Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Edo Lowasa, Jakaya kikwete, Bazil Mramba, salum Londa, Sasa Mizengwe Pinda, Amaan Karume na Mafisadi wote popote waliko regardless of their religion, Color or Tribe

  Natamani Afrika mashariki Ingeungana na kuwa nchi moja na Paul Kagame awe Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Mashariki... Huyu ndiye kiboko cha mafisadi na hajawaki kutokeo afrika....long live Kagame
   
 10. B

  BRIA Senior Member

  #10
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  STOP issue za dini hapa kazi ni moja tu kuiondoa CCM na MAKAMBA NA UDINI WAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
 11. M

  Mnyagundu Senior Member

  #11
  Sep 7, 2010
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama umependa kuwa raia wa rwanda omba uraia uende rwanda kwa kagame! tuachie bongo yetu! nashauri kwanza uende rwanda ukaulize kagame ni nani kwa wanyarwanda halafu ndio utatambua kama utamshobokea! mi nashauri ni bora kagame awe baba yako tu!
   
 12. B

  BRIA Senior Member

  #12
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Nani alimpakazia LIPUMBA NA CUF kuhusu uislamu wao...CCM is the source of every evil
   
 13. M

  Mnyagundu Senior Member

  #13
  Sep 7, 2010
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm inaondokaje???????????????????????? au kwa maneno haya ya kanga tunayofanya????????????????????? hakuna mipango ya kuiondoaa sisiemu!!!!!!!!!!!!!!!! inaingia akilini kweli kwa mfano chadema hiyo mnayo iona inaweza kuiondoa sisiemu haija simamisha wagombea majimbo zaidi ya 150!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! jamani mipango mipango hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
   
 14. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wewe unasema kwa takwimu au kwa kupayuka tu.
   
 15. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #15
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huna data, prove me wrong!
   
 16. s

  suley Member

  #16
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u guyz cant be seriouz...,u r real kiddin..,yaani mnataka kuniambia kuwa kwa mbio hizi za padri na waliowake zinawezav kuzaa chochote katika jamii ya watanzania...,the quest for excellence,need the perfect approach....!
  padri amechemka katika hili na ndio maana alitaka kuhakikishiwa mshahara wa 12 kila mwezi kwa kipindi ambacho atakuwa yuko bench kwani aliitakidi tangu mwanzo kuwa hatoshinda kamwe..,uchaguzi sio kelele,uchaguzi ni kura. chadema wangejiuliza wanafanya vipi kupata kura za watanzania kwa ujumla na sio kijikita kutafuta kura za makanisa....!
   
 17. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi huku si ndio kupiga kampeni kwa kutumia sumu za udini na ubaguzi?
   
 18. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :amen: :amen:
   
 19. g

  gervase Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jf stop writing abt udini. Stop p'se. Let us propose strategies to get away ufisadi
   
 20. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  PhD nilidhani akina Lowassa na RA walitaka Malasusa abwagwe kule Bagamoyo?
   
Loading...