CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499
1920092_673149482747126_1709045094_n.jpg

Kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Kalenga jana CCM walitumia mbinu ile ile ya kusomba makada wa kukodiwa kuja kujaza watu kwenye mkutano wao Ifunda, safari hii baada ya RPC kupiga marufuku malori waliamua kutumia mabus ya Upendo.

1797426_673145792747495_18005571_n.jpg

Hata vipaya na macruser yalitumika kufanya shantingi ya watu wa kujaza watu.

1898195_10202670258991733_1763272308_n.jpg
 
CCM ilishachokwa siku nyingi imebaki kujikomba kwa kuhonga watu sh 5000 kwa atakayekwenda kwenye mikutano yao.

Usione hayo magari ukadhani watalipwa....hapo wanapigwa mkwara tu.

Muda utafika tu vijana watajiandikisha kwenye daftari la kura.......!
 
We jifariji wanasomba watu halafu mwisho wa siku mnaangukia pua.
 
yes, safi sana, watu wanaenda kujadili mstakabali wa maisha yao. Sio kama chadema inakodsha chopa kwa garama kwabwa anapanda mboye na nkya, silaa na josephine tuu,
 
yes, safi sana, watu wanaenda kujadili mstakabali wa maisha yao. Sio kama chadema inakodsha chopa kwa garama kwabwa anapanda mboye na nkya, silaa na josephine tuu,
ndio maana jk na ccm yake wamekausha hazina na deni trilioni 60 kwa sababu ya ujinga wao wa kuchezea pesa na kufuja rasilimali ukiona bei ya binadamu ni book 2 au 5 ujue tunarudishwa kwenye utumwa
 
Sasa kama watu ni wa Kalenga mabasi yote yale ya nini, maana kulikuwa na magari zaidi ya 40
 
Jana watu wamekunywa ulanzi na ubwabwa.
 
CDM Wanaweza nao wakasomba watu kwa Mabasi ya Nyagawa kama ishu ni hiyo tu !
 
Namuulumia sana huyu Dokii hivi anachokitafuta ajakipata tu mwisho atatumika mpaka atachoka watamchana chana na kumtupa kule shauli yake
 
Kama wana uwezo wa kuwalipia wanachama wao usafiri tatizo liko wapi?

Mbona nyie mnapanda Helicopters?
 
yes, safi sana, watu wanaenda kujadili mstakabali wa maisha yao. Sio kama chadema inakodsha chopa kwa garama kwabwa anapanda mboye na nkya, silaa na josephine tuu,

Kwenye nyekundu inaonyesha jinsi CCM mlivyo
 
1920092_673149482747126_1709045094_n.jpg

Kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Kalenga jana CCM walitumia mbinu ile ile ya kusomba makada wa kukodiwa kuja kujaza watu kwenye mkutano wao Ifunda, safari hii baada ya RPC kupiga marufuku malori waliamua kutumia mabus ya Upendo.

1797426_673145792747495_18005571_n.jpg

Hata vipaya na macruser yalitumika kufanya shantingi ya watu wa kujaza watu.

Inamaana hapo hawahutubii wapiga kura?

Yaani unataka kunambia hao hapo wote sio wanakijiji WA kalenga?
 
Inamaana hapo hawahutubii wapiga kura?

Yaani unataka kunambia hao hapo wote sio wanakijiji WA kalenga?

ccm chama cha wahuni, majagili jana yametumoa mabus kusomba watu kutoka wilaya zingine ili kuokoa jahazi...
 
Back
Top Bottom