Unastahili kukamatwa kwa comment ya kishenzi namna hii.Mwaka huu ulinzi kwa albino ulikuwa mkubwa kila albino alijilinda mwenyewe, ccm wakakosa makafara sa wakashindwa kwenye chaguzi sasa wanaanza kutoana kafara wenyewe kwa wenyewe. Malizaneni ccm haina faida kwa watanzania.