Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,280
Mbona ninakuwekea limbwata na bado ninakupenda?Ni kawaida ya wachawi kuwa na Roho mbaya...
Sijamtaja mtu hapa ila wameshajijua.
Mbona ninakuwekea limbwata na bado ninakupenda?Ni kawaida ya wachawi kuwa na Roho mbaya...
Sijamtaja mtu hapa ila wameshajijua.
Mmetupa platform ya kujitangazaChadema wanafanya kiini macho, fedha za wananchi wanyonge zinatumika vibaya. Hiyo pesa italipwa na mabeberu.
atapata tabu sanaaaWewe ni mmojawapo wa waliokuwa wakiteseka kuanzia jana!Baada ya malengo yako kutotimia unakuja kiupolee,Maumivu yakizidi,kapate ushauri wa daktari!
Nasikia Meko kila akiuliza wamekusanya ngapi, akitajiwa figure..boxer inazidi kulowa.
Na tumejitangaza kweli kweli hadi nje ya nchiMmetupa platform ya kujitangaza
Vyama vyote havitoi pesa mfukoni bali vinaweka mazingira ya watu kupata pesa. Hivyo usiwabeze wengine kwa sababu wakifungwa wewe utanufaika nini? Siasa si uhasama, tukumbuke sote ni wa Mungu tuwapende watu wote pasipo kujali vyama, dini wala kabilaKila mkilala mnaiota ccm ama kweli ccm baba lao. 350 tu mtachanga week mbili mkiambiwa ni Sacco's mnajidai hamuelewi, maana halisi ya Sacco's ndo hii mnayofanya sasa. Chama cha kuweka na kukopa
Basis tutakupa wewe ili baadae tukutoe marinda.Huo ndo ulofa wa cdm sasa nani mmemuona kaumia! Mnateseka wenyewe na kufungua Uzi kila dakika, toeni pesa huko mumpe mbowe, zake anampa nkya. Mtafungua sana nyuzi pesa sio mchezo
Pole, pata maji ya uvuguvugu presha itashuka japo kidogo upate nguvu ya kuendelea na mapambio kwa Jiwe. Povu halifai kwa umri wakoHuo ndo ulofa wa cdm sasa nani mmemuona kaumia! Mnateseka wenyewe na kufungua Uzi kila dakika, toeni pesa huko mumpe mbowe, zake anampa nkya. Mtafungua sana nyuzi pesa sio mchezo
Walikuwa katika majukumu ya chama na wao wanatuwakilisha sisi wananchi,si vema kuwaachia wao wapambane na hali zao wakati walichokuwa wanapigania ni kwa maslahi ya wote!Kwani wenyewe wameshindwa kulipa au kunafanyika hivi ili kuwakomoa ccm?
Kwanini unateseka?Pesa si yako ila unaumia roho!Ukizidiwa kwa maumivu kamuone daktari!Kila mkilala mnaiota ccm ama kweli ccm baba lao. 350 tu mtachanga week mbili mkiambiwa ni Sacco's mnajidai hamuelewi, maana halisi ya Sacco's ndo hii mnayofanya sasa. Chama cha kuweka na kukopa