CCM wateseka wananchi kuchangia hukumu ya viongozi wa Chadema

Kwani wenyewe wameshindwa kulipa au kunafanyika hivi ili kuwakomoa ccm?
 
CCM wanazidi kuumia vichwa.kila njama wanayopanga kudidimiza upinzani lakini matokeo yake wanaibuka kwanguvu mpya tena maradufu.chadema inahadhina yakupendwa na wananchi kwa hyo wasijisumbue,watapata tabu sana.
 
Mkuu @Mkirindi,pole sana kwa kuguswa,nami naamini kuwa ndani ya CCM wapo wasiofurahishwa na haya mambo. Kama nawe ni mmojawapo wa wasiofurahishwa na jinsi mambo yanavyoenda,basi "negative attitude" yoyote dhidi ya "mashetani" haikuhusu,so relaxe ndugu. Mkirindi,
 
Kila mkilala mnaiota ccm ama kweli ccm baba lao. 350 tu mtachanga week mbili mkiambiwa ni Sacco's mnajidai hamuelewi, maana halisi ya Sacco's ndo hii mnayofanya sasa. Chama cha kuweka na kukopa
Vyama vyote havitoi pesa mfukoni bali vinaweka mazingira ya watu kupata pesa. Hivyo usiwabeze wengine kwa sababu wakifungwa wewe utanufaika nini? Siasa si uhasama, tukumbuke sote ni wa Mungu tuwapende watu wote pasipo kujali vyama, dini wala kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bome-e,
Chadema wake up. Tulihitaji saa moja tu kwa watu milioni moja kuchanga shs 350 tu kila mmoja. Kwanini hadi sasa hatujafikisha hiyo fedha na kuwatoa wapigania demokrasia na haki kwa nchi hii. Hapa ndipo pa kuonyesha peoples power tunayoitamka kila siku. Tuonyeshe mshikamano wetu wapenda haki popote tulipo pasikujali itikadi zetu.
 
Mimi cyo mwanachama wa chama cha mapinduzi ccm wala chama chochote cha siasa! Ila huwa nafuata hoja na sera nxuri za chama chochote! Kwangu muhim nimaendereo.

Kipindi cha Dkt W. Slaa nilikuwa nachangia chama cha Chadema kwa sababu ya hoja na sera walizokuwa nazo.

Hata jana nimechangia tu ili kuwatoa wenzetu gerezani na ili wapate mda wa kurekebika! Maana hata rwanda na burundi walianza hivi hivi.

Kifupi nataka niwaombe chadema! Dkt W.slaa bado yupo! Na hana chama chochote zaidi ya kulitumikia taifa kama barozi.
Nawashauri tumeni wazee wamuombe arudi ndani ya chama cha chadema ili akijenge chama natupate chama mbadara wa kukipushi ccm au kuiondoa madarakani kwa hoja sera na maendereo yanayoonekana kama sasa hivi.

Chadema acheni siasa za akina mange kimambi, za akina msiba,za kuandamana na kugombana na dora au kutuhubiri na kutuhamasisha tugombane! Hii cyo jadi yetu.

Acheni siasa za kuhujum nchi! Nchi niyetu sote siyo ya wanasiasa ,
Mnapohujum nchi tunaathirika wte.

Mwisho. Nawasihi baada ya kuwachangia nakutoka gerezani mlikofungwa njooni ulaiani ila mjifunze kuja na hoja au sera zenye mashiko.
Ila mchango wangu niliotoa wa tsh.150,000/= kwajina la Benedct k. Nisiwekwe kwenye orodha ya wanachama wa chadema ila nimetoa kusaidia watanzania wenzangu! Maana hata cccm nimechangia napo.
Ila mbadirike.
 
Bome-e,
Mimi binafsi ningependa kiasi hicho kikosekane na hao viongozi wote wafungwe au hata wakipenda basi wawauwe kisha waone kama upinzani utakufa kwa kufanya hivyo au ndio kwanza utaongezeka. Giza halijawahi kuishinda Nuru hata mara moja.
 
Huo ndo ulofa wa cdm sasa nani mmemuona kaumia! Mnateseka wenyewe na kufungua Uzi kila dakika, toeni pesa huko mumpe mbowe, zake anampa nkya. Mtafungua sana nyuzi pesa sio mchezo
Pole, pata maji ya uvuguvugu presha itashuka japo kidogo upate nguvu ya kuendelea na mapambio kwa Jiwe. Povu halifai kwa umri wako
 
Masanjaone,
Acha uongo,jana ulikuwa pamoja na lile kundi lililobeza uzi wa kuchangia!Mienendo yako humu JF inajulikana tokea ujisajili,wewe ni kada wa CCM!
 
Kwani wenyewe wameshindwa kulipa au kunafanyika hivi ili kuwakomoa ccm?
Walikuwa katika majukumu ya chama na wao wanatuwakilisha sisi wananchi,si vema kuwaachia wao wapambane na hali zao wakati walichokuwa wanapigania ni kwa maslahi ya wote!
 
Hivi unamchangiaje mtu analipwa milioni kumi kwa mwezi, wataoe nusu kwenye akaunti zao za bank na sisi tutoe nusu, hao wote wanatembelea v8, maana ya mchango ni kumsaidia mtu asiyejiweza
 
Kila mkilala mnaiota ccm ama kweli ccm baba lao. 350 tu mtachanga week mbili mkiambiwa ni Sacco's mnajidai hamuelewi, maana halisi ya Sacco's ndo hii mnayofanya sasa. Chama cha kuweka na kukopa
Kwanini unateseka?Pesa si yako ila unaumia roho!Ukizidiwa kwa maumivu kamuone daktari!
 
Back
Top Bottom