....litieni moto....nyambafu zao hao ccm..katika kata ya Magomeni, Bagamoyo, vijana wa Cuf wamelikamata gari la ccm na mtu mmoja baada ya wengine kukimbia na kuliacha gari lao.
Source: Sun rise radio
Nawasilisha
Subiri matokeo acha kumbwela wewe.ccm wameshajua watashindwa asante sana kwa taarifa ccm imeshakufa
CCM mnatumia janjaweed kugrab the wish of the people.Weka picha mkuu umbea siyo ishu.
Habari ndo iyo
Mkuu umeniwahi tu, na mimi nlitaka kuandika hivyohivyoHadi Bagamoyo CCM wanacheza rafu?