ccm watelekeza gari lenye nondo, mapanga na marungu

tanga ccm wamenunua mgombea wa chadema
 
ccm mpaka bagamoyo hali yenu ni mbaya?hatari kabisa
 
bagamoyo si nyumbani mkuu wa kaya?
huko washapumbazwa na ccm ndio maana nyumba zote ni mbavu za mbwa
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho.nasikiaga ccm wanambinu120'kushnda chaguzi.hadi wameshatumia20.
 
Mburula ni ww unaeserve maslahi ya chama cha mtu na familia yake. Ccm ndio chama cha ukombozi. Hate it or love it. Lol

Chama cha ukombozi? Hakika umechukuliwa msukule wewe, chama cha majambazi unakiita chama cha ukombozi? Kilimkomboa nani? 53 yrs watu wamekuwa maskini wa kutupwa, huduma za afya hovyo - nenda muhimbili kaone leo unakiita chama cha ukombozi? USIPINGE WEWE NI MSUKULE WA CCM. Bora nishabikie cdm coz hata hicho chama chenu kilianzia kwenye familia ya mwl J.K Nyerere
 
Ww fish unachekesha. Unadhan kila nchi Africa ipo vizur. Ww si unataka hata chakula upikiwe na kulishwa na serikali. Utaolewa fanya kazi. Hao cdm wenyewe njaa tu. Mipesa wanayopewa na wadhamini unajua watailipaje au unaongea tu. Mtaolewa na changudoa-M yenu I mean cd-m
 
Dah kumbe umeolewa na ccm!!!! hembu nambie mkuu kwa mahali ya bei gani au wamekuchukua bure kama zile buk7 lumumba, sahani za ubwabwa, 10,000/= za kulazimishwa kuchagua chama cha mizigo, n.k sisi chadema mambo kama hayo hakuna uzalendo na kujituma. cdm mpango wa Mungu, ccm mpango wa shetani
 
Hawa watakuwa chama cha wachaga chadema ndio wametelekeza hlo gar kukipaka matope chama cha ukombozi ccm.
Its better keep quite than talking nonsense!!mbona povu tena jombiii??
 
Dah kumbe umeolewa na ccm!!!! hembu nambie mkuu kwa mahali ya bei gani au wamekuchukua bure kama zile buk7 lumumba, sahani za ubwabwa, 10,000/= za kulazimishwa kuchagua chama cha mizigo, n.k sisi chadema mambo kama hayo hakuna uzalendo na kujituma. cdm mpango wa Mungu, ccm mpango wa shetani

Ss tumezaliwa kwenye chama cha ukombozi. Chama kubwa. Ww umeolewa na wakuja. Chagadema wamekulipia mahali ya nguruwe ngapi ww mwanamke samaki??? Vp niongeze nguruwe ngapi na mm unipe uroda?
 
Its better keep quite than talking nonsense!!mbona povu tena jombiii??

Kimini ucjal mama mdogo wako kaleta mada ya kitchen party hapa ndio namtoa kimtindo. Halaf nonsense ni nn hasa kwako? Kusifu chama la wananchi yaani ccm iliyoleta ukombozi tz.
 
Back
Top Bottom