CCM watangaza wajumbe 12 waliopitishwa na Kamati Kuu kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Nusu ni watoto wa waasisi wa ccm...na wapinduzi..hakika hakuna mabadiliko yoyote ccm..hata huku EAC ambako taifa linataka wananchi walobobea kiuchumi na sheria mnatupelekea ndugu Du Mnatia aibu.
afadhali CUF na CDM Wamechgua watu wa maana wasomi wanaojua taifa linataka nini huko EA na sio wauza sura

Baba yake Lawrence Masha alikuwa Mbunge wa Afrika Mashariki, Dr Fortunatus Masha na Mwanae Chadema imempitisha agombee Ubunge wa EA lakin hujastuka, umestuka kusikia Dr. Maghembe Jr kuwania Ubunge'

Kwny Siasa za Undugu na kubebana, CCM,CUF na Chadema hawana cha kuchekana
 
Dr Hakuwa CDM na alikua UDP.
Hapa tunazungumza maslahi ya Taifa sio chama. ukienda kule huongei mambo ya CUF au CDM bali maslah ya Taifa kwenye Juumuia.
wengi ya walio teuliwa ccm hawana uwezo wa kielimu na kitaalam.
Tuache hayo ya Vyama mimi nipo zaidi kwenye maslahi mapana ya Taifa...jeee utaratibu huu ni sawa ?
nadhani tungepata wabunge hata nje ya chama..na tukaweka minimum education iwe ni masters elimu ya uchumi au sheria...
 
Post no. 11 umeongelea Ki Vyama Ndio sababu nikakujibu Ki Vyama! Isome Tena post yako kabla huja edit ili ujikumbushe!

Tatizo lenu kubwa huwa ni Unafiki, ikitokea ukiulizwa Kati ya Bunge la Jamhuri au La EA lipi linahitaji wasomi na wana Taaluma zaid utasemaje? Kwny Bunge la Jamhuri ukiulizwa Wabunge wa CUF na Chadema wana uwezo wa kielimu na Kitaaluma utakimbilia kutetea kusema cha Msingi ni uwezo binafsi sio elimu hapo ukiwa na lengo la Kutetea kina Kubenea, Sugu, Prof J, Mnyika & Co.

Ukiulizwa utoe wasifu wa Kielimu wa Wagombea wa Ubunge wa EA upande wa CCM unaweza kututajia hata mmoja wao hapo Wasifu wake wa kielimu?
 
Niseme nini zaidi ya kuwatakia kila la kheri, nisichoelewa ni kama kuna sheria inayolazimu uwiano wa wabunge wa upinzani na chama cha Mapinduzi au wingi wa kura ndo unaoamua, na kama haipo wabunge wa ccm wakiwapigia kura watu wao hata kama hawana uwezo si watapita wote? Maana iko hatari ya kumkosa Masha hapa.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole ametangaza majina 12 ya wajumbe waliopitishwa na Kamati Kuu ili kulipa Bunge fursa ya kuchagua watakaoonekana kufaa.

Wabunge waliopitishwa ni Wafuatao:

TANZANIA BARA

Wanawake

1. Zainab Rashid Mfaume Kawawa

2. Happiness Elias Lugiko

3. Fancy Haji Nkuhi

4. Hapiness Ngoti Mgalula

Wanaume

1. Dr. Ngwaru Jumanne Maghembe

2. Adam Omari Kimbisa

3. Anamringi Issay Macha

4. Charles Makongoro Nyerere

TANZANIA ZANZIBAR

Wanawake

1. Maryam Ussi Yahya

2. Rabia Abdalla Hamid

Wanaume

1. Abdalla Hasnu Makame

2. Mohamed Yussuf Nuh
View attachment 488460

Naona akina Lizabon na Laki Si Pesa hawajulikani au ni watoto wa makapuku??.
 
Wamemwacha shyrose?,

hawa watu bana...

Au nafasi yake ndo kapewa Dr Ng'walu Jumanne magembe nini?
 
Huu ni upendeleo kwa watoto wa VIGOGO kutawala huku watoto wa MASKINI wakiendelea kunyimwa nafasi. CCM buana kweli inawenyewe
Tanzania zanzibar.jpg
 
CCM acheni aibu hii ya udharirishaji kuita
"TANZANIA ZANZIBAR"
Shame on you all CCM members and leaders
 
Back
Top Bottom