CCM watangaza wajumbe 12 waliopitishwa na Kamati Kuu kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole ametangaza majina 12 ya wajumbe waliopitishwa na Kamati Kuu ili kulipa Bunge fursa ya kuchagua watakaoonekana kufaa.

Wabunge waliopitishwa ni Wafuatao:

TANZANIA BARA

Wanawake


1. Zainab Rashid Mfaume Kawawa

2. Happiness Elias Lugiko

3. Fancy Haji Nkuhi

4. Hapiness Ngoti Mgalula

Wanaume

1. Dr. Ngwaru Jumanne Maghembe

2. Adam Omari Kimbisa

3. Anamringi Issay Macha

4. Charles Makongoro Nyerere

TANZANIA ZANZIBAR

Wanawake

1. Maryam Ussi Yahya

2. Rabia Abdalla Hamid

Wanaume

1. Abdalla Hasnu Makame

2. Mohamed Yussuf Nuh
17499063_1413329128710501_4331298589597649310_n.jpg
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-03-29 at 15.27.58.jpeg
    WhatsApp Image 2017-03-29 at 15.27.58.jpeg
    48.3 KB · Views: 149
Muende jamani ili tujue mkuu anasemaje. Maana kwa hakika nimemiss mada za Polepole hususan msimamo wake juu ya utitiri wa vyeo vya kuteuliwa na mchakato wa katiba mpya
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi Ndg @hpolepole atazungumza na wanahabari majira ya saa 8 mchana, OND ya Makao Makuu - Lumumba.
Ni vizuri mkuu tunakukaribisha kuna nafasi nyingi za vijana hapa.

Nafurahi unavyofanya kazi za Chama
 
Kama ana ubavu sasa atoke tena hadharani adai serikali 3 alizokuwa akizipigia kelele yeye na Warioba. Halafu kuna msemo hua anasema kwamba serikali 3 zimependekezwa na vigogo serikalini wakati walipowachukua maoni yao kwa viongozi wa awamu ile akina mzee pinda. Aseme tena na leo.
 
Yaani ndio ameita waandishi ili ataje tu hayo majina. Kweli ole wenu waandishi na mafarisayo ...
 
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole ametangaza majina 12 ya wajumbe waliopitishwa na Kamati Kuu ili kulipa Bunge fursa ya kuchagua watakaoonekana kufaa.

Wabunge waliopitishwa ni Wafuatao:

TANZANIA BARA

Wanawake


1. Zainab Rashid Mfaume Kawawa

2. Happiness Elias Lugiko

3. Fancy Haji Nkuhi

4. Hapiness Ngoti Mgalula

Wanaume

1. Dr. Ngwaru Jumanne Maghembe

2. Adam Omari Kimbisa

3. Anamringi Issay Macha

4. Charles Makongoro Nyerere

TANZANIA ZANZIBAR

Wanawake

1. Maryam Ussi Yahya

2. Rabia Abdalla Hamid

Wanaume

1. Abdalla Hasnu Makame

2. Mohamed Yussuf Nuh

Nusu ni watoto wa waasisi wa ccm...na wapinduzi..hakika hakuna mabadiliko yoyote ccm..hata huku EAC ambako taifa linataka wananchi walobobea kiuchumi na sheria mnatupelekea ndugu Du Mnatia aibu.
afadhali CUF na CDM Wamechgua watu wa maana wasomi wanaojua taifa linataka nini huko EA na sio wauza sura
 
Kelele zote za 'baba wa demokrasia' lakini majina yaliyorudi ni yaleyale!
 
Ccm mnanisikitisha sana hivi bila kuweka watoto wa viongozi wenu wa zamani mtakuwa mmekiuawa chama.mm ni mwanachama hai wa ccm.ila hii tabia yenu haitawafikisha mbali.naona ubaguzi bado ni ule ule hamuoni haya eti (zainab Rashid mfaume kawawa.)sio huyo tu magembe.kimbisa.nyerere nyie jifanyeni mNa hati milki ya ccm.ipo siku
 
Si jana kuna watu walidai Majina yote 400+ yanapelekwa kupigiwa kura na wabunge wa CCM kwa vile Mkulu kakasirika baada ya list kuleak!!
 
Usaili tunausubiri, naamini jadi ya lugha ya usaili itafuatwa i.e lugha ya malkia.

Tumsikie maji marefu atauliza sawali gani na ataliulizaje kumuuliza Lau Masha au wenje:D

Lau ataomba muuliza swali arudie kuuliza (ila lugha atakayotumia kuomba swali lirejewe muuliza swali hataielewa na kusababisha kicheko cha karne.
 
Back
Top Bottom