Ccm wapokea wanachama wanafunzi wa central sekondari

Hata shule ya Central inamilikiwa na Mr Kigalla huyu ni mnaz mkubwa wa CCM. Kila mara huomba ridhaa ya kugombea ubunge wa dom town bt hu2pwa kwenye kura za maoni. Huyu nae ana tabia ya kuswaga wanafunz wake kwny events za CCM, ushahd ni pind CCM wanaadhimisha miaka ya kuzaliwa chama huyu mzee aliwaandaa wanafunz wake for 1 week wakifanya mazoez ya halaik na kila mwalim aliehusika kuandaa wanafunz hao alikua anakula c chini ya sh 10elf p.d
 
Back
Top Bottom