aisee alieloga hizi raia za ccm alikufa kifo cha maji na mwili wake haukuonekana! so hakuna hata kaburi la huyo mlozi watu wakatambike aseeAkiongea na waandishi wa habari katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki mkoa ambayo ni asilimia 69.
Chanzo ITV habari za saa.
My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo.
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.
Chanzo: ITV habari za saa.
My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?
aisee alieloga hizi raia za ccm alikufa kifo cha maji na mwili wake haukuonekana! so hakuna hata kaburi la huyo mlozi watu wakatambike asee
sababu ya kupinga matokeo itamrahisishia kazi hakimu atakayetupilia mbali kesi hii.
Alitegemea matokeo yafanane kila mwaka?inaelekea bado haamini kilichotokea.Haya mapingamizi ya kishenzzi na ya kupotezeana muda inabidi yaongelewe kwenye katiba mpya.Kuwepo na vigezo vya mapingamizi,sio tu mtu anaweka pingamizi heti matokeo hayafanani na ya uchaguzi uliopita wakati wanaosimamia ni wao,polisi ni wao,uchakachuaji ni wao,sasa anafikiri kura zilijipiga na hazikupugwa na watu?