CCM wapigana vibaya Kawe na mkutano kuvunjika

dah ndo ile jina la mtu ambaye hakuchukua fomu linaletwa halafu aliyechukua jina lake linakatwa
 
Hahahaha wazee wa mabwepande kama kawaida yao Rushwa, kujuana rushwa za NGONO, kweli hawa hawatufikishi popote pale
 
Kumbe Kawe bado Magamba watoto bado wapo? Halima Mdee Vijigamba hivo peleka M4C haraka,
 
Kijana unasumbuka bure kutumia nguvu zako zote kupambana ndani ya Chama Cha Mapinduzi chenye uvundo wa kila namna.
Zinduka katika usingizi wako, vua gamba jiunge na Winning Team mahali ambapo nguvu yako haitapotea kamwe
 
Sijaisikiliza ila najua Ni "DHAIFU TENA DHAIFU NIKIMAANISHA DHAIFU"
Join Date : 4th July 2012

Posts : 46
Rep Power : 310
Likes Received9
Likes Given0

KARIBU JF.
 
Back
Top Bottom