CCM wapata aibu ya mwaka Musoma Mjini

CCM wapata aibu ya mwaka Musoma Mjini

CCM siku ya jana walipata aibu ya mwaka katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo Musoma Mjini.

Hii ni baada ya kutangazia wakazi wa Musoma kuwa viongozi mbali mbali mkoa wa Mara haswa wabunge watakuwepo katika mkutano huo wa jana ila hakuweza kuonekana mbunge hata moja kutoka mkoa mzima wa Mara.

Walibaki kupiga mziki na kutoa matusi kwa viongozi wa CHADEMA.

CCM mkoa wa Mara hawana mvuto tena.

kwa hiyo!
 
Tumechoka kusikia habari za wavuta bange wa Musoma
 
Inasemekana Wasira alikula kona mbaya.

Nasikia hakufika kwa vile anajiandaa kumrithi komba kwenye mziki. Alikuwa kwenye mazoezi ya mziki. Ameseme atachukua nafasi ya komba- aliye kuwa jembe lao.
 
CCM siku ya jana walipata aibu ya mwaka katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo Musoma Mjini.

Hii ni baada ya kutangazia wakazi wa Musoma kuwa viongozi mbali mbali mkoa wa Mara haswa wabunge watakuwepo katika mkutano huo wa jana ila hakuweza kuonekana mbunge hata moja kutoka mkoa mzima wa Mara.

Walibaki kupiga mziki na kutoa matusi kwa viongozi wa CHADEMA.

CCM mkoa wa Mara hawana mvuto tena.

Safi sana hii, M4C daima.
Kamanda unaweza kutukumbusha matokeo serikali za mitaa ilikuwaje Musoma Mjini tafadhari..
Alafu kama ukituwekea na kapicha ka huo mkutano itakuwa poa sana kamanda.
 
Tatizo lako lingekuwa ujinga tungekusaidia kwa kukuelimisha, lakini kwa kuwa ni zaidi ya ujinga hatuna msaada.
Zaidi ya ujinga huwa ni upumbavu. Na upumbavu hauna tiba wala dawa.
 
Nyie machadema wote mnafikir kwa makalio tuuu, ccm hamuiwez kamwe
 
Jamani wabunge wetu wa mara wameenda ruvuma kijiji cha lituhi kumzika mbunge mwenzao wa ccm marehemu John Damiano Komba (RIP)
 
Nasikia hakufika kwa vile anajiandaa kumrithi komba kwenye mziki. Alikuwa kwenye mazoezi ya mziki. Ameseme atachukua nafasi ya komba- aliye kuwa jembe lao.

Nimecheka mbavu zinauma jamani, khasasaa ..., mweeeree!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom