Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
huku musoma kwetu ukisikika unataka ccm then watasema huyo ni mgeni sio mwenyeji.
muda si muda utaona unazungukwa na kuulizwa,mura/ yego/omega wewe ni mgeni hapa au ebu jitamburishee,jaji/ muda/ omera.
huku kwetu ccm is a walking ghost .
muda si muda utaona unazungukwa na kuulizwa,mura/ yego/omega wewe ni mgeni hapa au ebu jitamburishee,jaji/ muda/ omera.
huku kwetu ccm is a walking ghost .