CCM wapata aibu ya mwaka Musoma Mjini

CCM wapata aibu ya mwaka Musoma Mjini

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
CCM siku ya jana walipata aibu ya mwaka katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo Musoma Mjini.

Hii ni baada ya kutangazia wakazi wa Musoma kuwa viongozi mbali mbali mkoa wa Mara haswa wabunge watakuwepo katika mkutano huo wa jana ila hakuweza kuonekana mbunge hata moja kutoka mkoa mzima wa Mara.

Walibaki kupiga mziki na kutoa matusi kwa viongozi wa CHADEMA.

CCM mkoa wa Mara hawana mvuto tena.
 
Aibu yao na bado.Kazi ya Vincent Nyerere nyumba kwa nyumba hakuna kulala...
 
Huyu kamanda ni tishio kwa magamba bigup!!
 

Attachments

  • 1425382047894.jpg
    1425382047894.jpg
    78 KB · Views: 1,574
CCM waondoka vibaya hadi wanabomoa jengo kongwe la Ofisi Lumumba
 
mikutano ya ccm bila kulazimisha wanafunzi wa shule za msing na sekondari hawawezi kupata watu. Hata hivyo wana nini cha kuwaambia wananchi? Kinana mwenyewe iliapate cha kusema ilibidi abadilishe hotuba zake kwa kulahumu, kukashifu na kukiombea msamaha chama chake.
 
mwalimu nyerere alivyokufa,na ccm ikafa hii ya sasa ni ya waganga njaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom