CCM waomba "POO" kiaina

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,983
1,574
Wana Jf, kwa wale mlio karibu ya watoto wakati wa michezo yao neno "pooo" sio geni kwenu. Mara nyingi neno "pooo" watoto hulitumia ktk michezo yao hasa pale mchezaji anapoona yu ktk hatari ya kupoteza game hulazimika kutumia neno hili "pooo" ili kuepuka kupoteza ili ajipange upya. Kwa wale wakubwa wenzangu pia, "mgegedwaji na mgegedaji" neno "pooo" limekua likitumika kwa ishara(hasa kwa kusukumwa na mwenzio anayeomba poo) ama kwa kutamkwa na anayeomba "pooo". Mara nyingi mgegedwaji ndo hua anaomba "pooo" sina uhakika kama mgegedaji pia huomba "pooo". Ktk hali ya kushangaza kupitia m/kiti wao (6) CCM Wameomba "poooo" wapumue ili kuendelea na game dhidi ya UKAWA ambao hawataki apumue. Ili kuhalalisha hili wameamua kujificha nyuma ya bunge la bajeti ili wananchi msistuke. Kwa mtazamo wangu mimi game hili lisiwe na mazingira ya kuomba "pooo" mpaka kieleweke. CCM ione aibu kuomba "pooo" mbele ya kakikundi kama haka ka UKAWA.Tuendelee na ratiba tuliyoiacha ya bunge juni la bajeti ili uhalali wa kuomba pooo usiwepo
 
Gongo, Bangi, kipigo cha Kalenga, kipigo kingine cha kesho Chalinze kimefanya umerukwa na akili.
 
Duh.,nashangaa sana baadhi ya watanzania wanaoamini kuwa tutapata katiba mpya chini ya ccm!
 
Kama imani kuwa tutpata katiba mpya nzuri kulilko iliyopo itaisha, Je nani atasimamia kupata katiba nzuri wakati wananchi wakiwa wamepoteza imani???? CCM hawa hawa ambao baba na motto ni wabunge??? ni jeshi la wananchi, ni serikali ya umoja wa kitaifa au ni nani??? inaweza ikawa polisi yetu????
 
Gongo, Bangi, kipigo cha Kalenga, kipigo kingine cha kesho Chalinze kimefanya umerukwa na akili.

wewe ndiye usiyejitambua,kwani 2+2=5 kwako wewe na chama chako,ila wapinzani jibu ni sahihi dunia nzima kwahyo jiulize wewe wao nani karukwa na akili?
 
Back
Top Bottom