CCM waomba "POO" kiaina

CCM waomba "POO" kiaina

Wana Jf, kwa wale mlio karibu ya watoto wakati wa michezo yao neno "pooo" sio geni kwenu. Mara nyingi neno "pooo" watoto hulitumia ktk michezo yao hasa pale mchezaji anapoona yu ktk hatari ya kupoteza game hulazimika kutumia neno hili "pooo" ili kuepuka kupoteza ili ajipange upya. Kwa wale wakubwa wenzangu pia, "mgegedwaji na mgegedaji" neno "pooo" limekua likitumika kwa ishara(hasa kwa kusukumwa na mwenzio anayeomba poo) ama kwa kutamkwa na anayeomba "pooo". Mara nyingi mgegedwaji ndo hua anaomba "pooo" sina uhakika kama mgegedaji pia huomba "pooo". Ktk hali ya kushangaza kupitia m/kiti wao (6) CCM Wameomba "poooo" wapumue ili kuendelea na game dhidi ya UKAWA ambao hawataki apumue. Ili kuhalalisha hili wameamua kujificha nyuma ya bunge la bajeti ili wananchi msistuke. Kwa mtazamo wangu mimi game hili lisiwe na mazingira ya kuomba "pooo" mpaka kieleweke. CCM ione aibu kuomba "pooo" mbele ya kakikundi kama haka ka UKAWA.Tuendelee na ratiba tuliyoiacha ya bunge juni la bajeti ili uhalali wa kuomba pooo usiwepo
Mada ya kijinga kabisa kuwahi kuziona hapa jf
 
tupe matokeo ya Chalinze leo ..tujue ni yupi anaomba "poo" ..
 
Ccm itaongoza nchi hii milele
Umesema kweli mkuu.Maana ili wadanganyika waamuke na kugundua kuwa matatizo waliyonayo kama vile watoto wao kupata elimu duni,huduma mbovu za afya ikiwa ni pamoja na wamama wajawazito kugalagazwa chini kwenye hospital za umma,barabara mbovu zinazowaua kila siku kwa ajari nk yanasababishwa na ccm ndipo itakuwa mwisho wa ccm
 
Back
Top Bottom