CCM Wanusa harufu ya kushindwa uchaguzi

CCM Wanusa harufu ya kushindwa uchaguzi

Kwa maneno ya Mkuu wa PPRA alisema kuwa Wizara ya Ujenzi imepigwa Penalty ya 120 bilioni sababu ya kuchrlewesha malipo...
Yenyewe ilisema kuwa Milion951 zimelipwa kwa wakandarasi hewa... leo hii wanakuja kana maneno yao kisa tu Magufuli anahusika
 
Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.
ewe kizazi cha nyoka hata lini utamtamfuta mzima katika wafu.. tazama umepotoka na kukosa maalifa sasa unasifia waovu na kuchukia wenye haki.
 
kuna moderator humu hapendi kuona unaisema CCM! Subiri huu uzi wako utafutwa sasa hivi. Mods wacheni upendeleo kwa CCM munaposha maana halisi ya kuitwa great thinkers. wacheni wanaJF watoe maoni yao. Tumewakimbia kina Issa michuzi

True ......
 
ewe kizazi cha nyoka hata lini utamtamfuta mzima katika wafu.. tazama umepotoka na kukosa maalifa sasa unasifia waovu na kuchukia wenye haki.

mwenye haki ni nani na mwovu ni nani? mmelishwa vitu msivyovijua vimetokea wapi enyi wananchi wa tanzania, ee mungu wafungue hawa waone ukweli.
 
kinachoshangaza zaidi ni pale tulipoona kwenye kipindi cha tuongee asubui cha star tv jana baadhi ya waandishi wa habari tena mtangazaji alikuwa anawaita wanahabari nguli, eti wanatetea kitendo cha kuchanganya picha kutoa picha za huku kupeleka kule zinazofanywa ili kuonyesha kwamba mikutano ya ccm ina watu wengi
 
Nimewachana nikawaambia live kuwa aidha moderators au JF imenunuliwa n@ CCM. Hawakuchelewa kuichomoa hiyo thread. Huu cjui ni up.uuzi wa wapi??!

Nilipost thread nikiponda hoja ya kusema tanzania kuwa nchi ya viwanda kama wanavyojinadi CCM na Magufuli. Nikahoji iweje utangaze kuotesha viwanda kama uyoga wakati hospital kubwa kama Mount Meru inakosa vifaa vya upasuaji, wanaenda kuazima na vingine wanashindwa kuazima kwa sababu hakuna umeme wa kuviendesha (TBC habari). Viwanda vitaendeshwa na upepo au mbaramwezi??

Nikahoji kwa vigezo. ITV walionyesha shule huko Morogoro walimu na wanafunzi wakitumia choo kimoja, maji shida hadi kununua. Nikahoji, viwanda vinakuja kwa njia gani, kwa nia ipi kama vyoo tu vya shule vinatushinda!!! Tunahamasisha elimu ya kuzuia kipindupindu wakati tunaandaa mazingira ya kuzidi kulipua watu na kuwaambukiza kwa kipindupindu.

Haikuchukua round huu uzi, haukuonekana. JF Great Thinkers wakati moderators wamefanywa weakened thinkers, wapi na wapi!!!!'

True ......

By anonymous x:
kuna moderator humu hapendi kuona unaisema CCM! Subiri huu uzi wako utafutwa sasa hivi. Mods wacheni upendeleo kwa CCM munaposha maana halisi ya kuitwa great thinkers. wacheni wanaJF watoe maoni yao. Tumewakimbia kina Issa michuzi
 
Wameshindwa kutumia reference ya uchaguzi wa serikali za mitaa?

Walishindwa vibaya sana sema wakaficha vichwa kwenye mchanga.
CCM naifananisha na baba mzazi anapoamua kumuhonga mtoto wake ili amfanyie kazi fulani
 
Wanatwanga maji kwenye kinu, It Is too little too late; Lowassa hazuiliki, Lowassa hakatwi na mtu yoyote Tena, what Will be Will be.

Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.
 
Roho inaniuma namna CCM inavyotuchezea na kutudharau sisi walimu wa Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo tuliowafundisha wao pamoja na jitihada zetu za kuendelea kukarabati kizazi cha Taifa la leo na kesho.Mazingira ya kufundishia si rafiki kabisa,nyumba za walimu ni utata,likizo kizungumkuti,mishahara kiduchu,usafiri ni majanga,matibabu ni dhahama,Usafiri ni mgogoro, mikopo kuipata ni balaa,kujiendeleza ni mbinde,uhamisho ni soo,huduma ya maji ni hadithi zisizokwisha,umeme ni ahadi juu ya ahadi zingine; maisha ya Mwalimu ni kama maigizo,Maisha ya leo ni afadhali ya jana na juzi. Hatuthaminiwi Wilayani, Halmashauri, Benki,Sehemu za Starehe na hata katika vyombo vya usafiri.Ukijitambulisha wewe ni Mwalimu basi jiandae kudharaulika. Wanafunzi wanaishia kutupachika majina kutokana sisi kuwafuatilia sana kimaadili na Kitaaluma kiasi kwamba tumechoka kimaisha (Mavazi, Malazi, Chakula na Burudani).Leo CCM imewarubuni baadhi yetu watushawishi kuipa tena kura CCM???Baada ya kuona imekataliwa na Wakulima,Wafanyabishara,Wavuvi,Manesi,Wanafunzi,Wakandarasi,Madereva,Wamachinga,Wanawake,Wajasiamali ,Wawekezaji,Wachimba madini,bodaboda,mama Ntilie n.k!! Ewe Mwalimu,Ewe Mtumishi wa Umma na Binafsi,Ewe Mkulima,mvuvi,bodaboda,mama Ntilie,Mfugaji,askari,Mwanajeshi,Nesi,Daktari,Dereva,Machinga,Mwanafunzi,Mwanamuziki,Msanii,Mwanamichezo mabibi na Mabwana CHAGUA LOWASSA ILI ALIOKOE TAIFA HILI LA TANZANIA MIKONONI MWA DHALIMU CCM!!
 
Back
Top Bottom