Credible Viewer
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 444
- 118
Ccm hakuna wa kuiokoa lazima ife tu.
Tens kifo chao kimekaribia kabisa!
Ccm hakuna wa kuiokoa lazima ife tu.
Ccm hakuna wa kuiokoa lazima ife tu.
Ni mtu asiye makini ndo anaweza chagua ukiwa. Genge la mafisadi wapate nchi. Du itakuwa ndoto. Wananchi wanafahamu utapeli unaoendelea.
Ni mtu asiye makini ndo anaweza chagua ukiwa. Genge la mafisadi wapate nchi. Du itakuwa ndoto. Wananchi wanafahamu utapeli unaoendelea.
Tens kifo chao kimekaribia kabisa!
Katika hali ya kubaini mambo magumu, CCM kupitia Serikali yake sasa imeanza kuvibana vyombo vya habari kuhakikisha vinaandika zaidi habari za Dr. Magufuli kuliko Lowassa. Hatua hiyo inakuja wakati tayari CCM ina vyombo vyake vinavyoipigia debe zikiwemo TV za TBC na Star TV na magazeti ya Uhuru, Daily news, Habari Leo, Jambo Leo na Raia Mwema/ Tanzania, bado inakerwa na vyombo Huru vya habari.
Hivi karibuni CCM wamemfukuza mwandishi wa habari wa Mwananvhi aliyeandika story ya Magufuli kuxomewa Mbeya na wana Chadema.
Hali hiyo inakuja baada ya kuona wanatumia fedha nyingi kwenye vyombo vya habari bila faida. Mahudhurio kwenye mikutano ya CCM ni hafifu ukilinganisha na ya mgombea wa Ukawa Edward Lowassa.
Baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari wanetishiwa kufungiwa wanapoonyesha au kuandika sana habari za Ukawa.
CCM wamekuwa wakisomba watu kwa malori tena wakiwalipa hela.
Kama hiyo haitoshi Vyombo vya serikali kama National statistics Bureau zinatumika kuonyesha uchumi unakua hata kama maisha ya Watanzania ni magumu. PPRA wao wameingia mkenge kutangaza ufisadi Tanroads sasa wanajisafisha.
CCM inatumia fedha na nguvu kubwa kumnadi Dr. Magufuli kiasi cha kuanza kutumia matusi na kejeli kwa Lowassa ili watu wamchukie, lakini ndio anazidi kupendwa.
Utafiti umeonyesha kada ya watu wa chini hasa mama ntilie, boda boda, wakulima na wafanyakazi wanaongoza kwa kumkubali Lowassa.
Juzi gazeti la Uhuru la CCM limedai eti Lowassa ametenga sh milioni 10 ili kuwahonga bodaboda baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi.
UTAFITI MWINGINE ULIOFANYWA KWA SIRI NA CHAMA CHA ACT LOWASSA AMGARAGAZA TENA MAGUFULI. Kuna habari mpya imeibwa kutoka ACT. Chama cha ACT baada tafiti mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu, na wao waliamua kuchukua taasisi moja (jina tunalihifadhi) ambapo waliingia makubaliano ya kufanya utafiti juu ya chama na mgombea anaekubalika kuelekea uchaguzi mkuu. Waliwasisitiza sana wafanye utafiti wa kitaalam pasipokuegemea upande wowote (hata kwao ACT) ili waweze kupata matokeo halisi yanayoakisi uhalisi. Hii sio tu kujua chama kinachokubalika bali pia kuwawezesha kujua ni kwa kiasi gani wao kama ACT wanakubalika na kwa muda wa lala salama wajipange vipi. Utafiti huu umefanyika katika mikoa 20 ya Tanzania, bara na visiwani, mjini na vijijini kwa kutumia wataalam walobobea na kwa kuzingatia vigezo vya kitaalam vya kitafiti. Lowassa kaongoza mikoa 13 kwa asilimia nyingi na Magufuli mikoa 7 asilimia ndogo. Kwa mujibu wa utafiti huu ambao matokeo yake yametoka jana Alhamisi tarehe 8 October 2015, kama kura zingepigwa jana basi, basi haya ndo matokeo halisi kwa upande wa wagombea urais.Ni mtu asiye makini ndo anaweza chagua ukiwa. Genge la mafisadi wapate nchi. Du itakuwa ndoto. Wananchi wanafahamu utapeli unaoendelea.
Wamekwisha jana audiance wa BSS wamefanya yao baada ya MC kusema hapa kazi tu mashabiki wote wakaanza kusema poeples na kuzungusha mikono..ilibdi madam rita aingilie kati..hali haikua nzuriiii
UTAFITI MWINGINE ULIOFANYWA KWA SIRI NA CHAMA CHA ACT LOWASSA AMGARAGAZA TENA MAGUFULI. Kuna habari mpya imeibwa kutoka ACT. Chama cha ACT baada tafiti mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu, na wao waliamua kuchukua taasisi moja (jina tunalihifadhi) ambapo waliingia makubaliano ya kufanya utafiti juu ya chama na mgombea anaekubalika kuelekea uchaguzi mkuu. Waliwasisitiza sana wafanye utafiti wa kitaalam pasipokuegemea upande wowote (hata kwao ACT) ili waweze kupata matokeo halisi yanayoakisi uhalisi. Hii sio tu kujua chama kinachokubalika bali pia kuwawezesha kujua ni kwa kiasi gani wao kama ACT wanakubalika na kwa muda wa lala salama wajipange vipi. Utafiti huu umefanyika katika mikoa 20 ya Tanzania, bara na visiwani, mjini na vijijini kwa kutumia wataalam walobobea na kwa kuzingatia vigezo vya kitaalam vya kitafiti. Lowassa kaongoza mikoa 13 kwa asilimia nyingi na Magufuli mikoa 7 asilimia ndogo. Kwa mujibu wa utafiti huu ambao matokeo yake yametoka jana Alhamisi tarehe 8 October 2015, kama kura zingepigwa jana basi, basi haya ndo matokeo halisi kwa upande wa wagombea urais.
1. Mtwara: LOWASSA 48%, MAGUFULI 47, ACT 3%, wengine 2%.
2. Kilimanjaro: LOWASSA 71%, CCM 26%, ACT 2% na vyama vingine 1%.
3. Singida: MAGUFULI 51%, LOWASSA 45%, ACT 3%, wengine 1%.
4. Dodoma: MAGUFULI 56%, LOWASSA 41%, ACT 2%, wengine 1%.
5. Mbeya LOWASSA 75%, MAGUFULI 23%, ACT 1% wengine 1%
6. DSM: LOWASSA 70%, MAGUFULI 26%, ACT 3% wengine 1%
7. Mwanza: LOWASSA 59%, MAGUFULI 36%, ACT 4% wengine 1%.
8. Pwani LOWASSA 48, MAGUFULI 48%, ACT 3%, wengine 1%.
9. Simiyu: MAGUFULI 50%, LOWASSA 47, ACT 2%, wengine 1%.
10. Tanga: LOWASSA 54%, MAGUFULI 42%, ACT 2%, wengine 2%.
11. Arusha: LOWASSA 73%, MAGUFULI 25%, ACT 1%, wengine 1%.
12. Manyara LOWASSA 61%, MAGUFULI 35%, ACT 3%, wengine 1%.
13. Kagera LOWASSA 57%, MAGUFULI 40%, ACT 2%, wengine 1%.
14. Pemba kas LOWASSA 82%, MAGUFULI 14%, ACT chini ya 1%, wengine 3%
15. Mjini magh LOWASSA 51%, MAGUFULI 44%, ACT chini ya 1%, wengine 4%.
16. Unguja kas MAGUFULI 48%, LOWASSA 43%, ACT 1%, wengine 8%.
17. Tabora: MAGUFULI 54%, LOWASSA 39%, ACT 5%, wengine 2%.
18. Kigoma: LOWASSA 44%, MAGUFULI 36%, ACT 18%, wengine 2%.
19. Geita: MAGUFULI 65%, LOWASSA 33%, ACT 1% wengine 1%.
20. Morogoro: MAGUFULI 51%, LOWASSA 46%, ACT 2%, wengine 1%.
Pia matokeo ya jumla yameonyesha kuwa LOWASSA angeshinda/atashinda kwa 54.2%, akifuatiwa na MAGUFULI 41.7%, ACT 3.3% huku wagombea wengine kwa ujumla wakiambulia chini ya 1%.
NB! Naendelea kufanya juhudi niwatumie vipengele vingine vya huu utafiti hususan upande wa wabunge, udiwani, kukubalika kwa kila chama kwa jinsia, umri nk