muafi JF-Expert Member Oct 6, 2015 2,115 4,801 Sep 5, 2020 #1 yani korona ndio mnatumia kuomba kura? kwamba ndio mtatuletea maendeleo? chama kimechoka jamani au wadau mnasemaje?
yani korona ndio mnatumia kuomba kura? kwamba ndio mtatuletea maendeleo? chama kimechoka jamani au wadau mnasemaje?
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,378 81,837 Sep 5, 2020 #2 Umewasahau na akina Peter Msechu, Lina Sanga na Shoro Mwamba!! Hali ni tete. Tunayasubira yale madege yake yakampigie kura hiyo siku ya uchaguzi. Mimi kwa magufuli ni BIG NO! Kama mtumishi wa umma, hana cha kunivutia wala kunishawishi.
Umewasahau na akina Peter Msechu, Lina Sanga na Shoro Mwamba!! Hali ni tete. Tunayasubira yale madege yake yakampigie kura hiyo siku ya uchaguzi. Mimi kwa magufuli ni BIG NO! Kama mtumishi wa umma, hana cha kunivutia wala kunishawishi.
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,675 40,926 Sep 5, 2020 #4 Ni haki yao kufanya hivyo tofauti na nyie mliokuwa mkitaka lockdown sijui mngepata wapi nafasi ya kupiga porojo majukwaani muda huu .
Ni haki yao kufanya hivyo tofauti na nyie mliokuwa mkitaka lockdown sijui mngepata wapi nafasi ya kupiga porojo majukwaani muda huu .