GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.

Ngoja tuone kitachojiri

=========

Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea
SnapInsta.to_521554260_18499054465064781_632554909748853542_n.jpg

SnapInsta.to_523933381_18499054462064781_7849872093994453192_n.jpg
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kikiendelea usiku huu Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025 kupitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi.
 
Back
Top Bottom