CCM wanatamani kubadili rangi za chama

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kufuatia CCM kuendelea kuchukiwa na wananchi walio wengi na kuhamwa na mamilioni ya wanachama na kuzomewa kila wanapo onekana wamevaa kijani na njano kwa sasa uongozi wa CCM unatamani kubuni rangi nyingine ili kuepuka fedheha wanayo ipata.
 
Humu kwenye mutandao mmejaa sana ila bahati mbaya sana wapiga kura wako site na huko mmeadimika sana toka enzi za Dr.Slaa ..pimeni Maneno yangu
 
Yanga imeanzishwa yapata miaka 80 sasa huwezi leo kuja na hoja eti rangi zibadilishwe kwalipi mpira na siasa wapi na wapi wkt siasa ni mambo ya mpito tu halafu nembo ya sisiem na yanga ni moja eeee???acha mawazo potofu.
 
Kabla hujaruhusu watu wapime maneno yako. Hebu wewe mwenyewe yapime kwanza. Usikute hukushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
 
Mkuu huyo hawezi kushirikisha ubongo maana ni sawa na bendera
 
Humu kwenye mutandao mmejaa sana ila bahati mbaya sana wapiga kura wako site na huko mmeadimika sana toka enzi za Dr.Slaa ..pimeni Maneno yangu

Wewe kijana wenzako wahaya na waha mbona wana uelewa? Yaani umekuwa kilaza kabisa
 
Kufuatia CCM kuendelea kuchukiwa na wananchi walio wengi na kuhamwa na mamilioni ya wanachama na kuzomewa kila wanapo onekana wamevaa kijani na njano kwa sasa uongozi wa CCM unatamani kubuni rangi nyingine ili kuepuka fedheha wanayo ipata.

Ni kweli kabisa, hata muda huu niko hapa Lumumba kuna mkaka flani ni driver wao, Yeye kakataa kupokea ya kijani chao na kachukua ya rangi ya Ugoro
 
Sasa hivi ma ccm yakivaa mirangi yao inabidi waweke koti au kitenge kujihifadhi wasizomewe
 
Ni kweli kabisa, hata muda huu niko hapa Lumumba kuna mkaka flani ni driver wao, Yeye kakataa kupokea ya kijani chao na kachukua ya rangi ya Ugoro

Kweli mkuu wanayakataa kabisa hayo ma uniform
 
ndugu zangu huwa kuna indicators (viashiria ) vingi sana wakati roho inataka kuacha mwili. Hivi ni CCM ya lini ilishawahi hata kujabiru kubadili identity yake?? rangi yake?? vibwagizo vyake?? n.k

Haya mambo ni magumu !! kuna jambo kuu tunalishuhudia mwezi ujao!!
 
Yanga imeanzishwa yapata miaka 80 sasa huwezi leo kuja na hoja eti rangi zibadilishwe kwalipi mpira na siasa wapi na wapi wkt siasa ni mambo ya mpito tu halafu nembo ya sisiem na yanga ni moja eeee???acha mawazo potofu.
rangi siyo msahafu , unaweza badili kulingana na matakwa ya muda .
 
Alivyoondoshwa zito mlisema hvohvo.

We jamaa umenikumbusha Zito mtu niliye mpenda lakni sifa ndo zimemuathiri unyenyekevu ndiyo sifa kuu ya mcha Mungu Anaweza kurudi kwa wenzake bila shaka watampokea hakuna aliye mkamilifu
 
Kumbe ushamsahau zito?dr nae kashasahaulika
 
Back
Top Bottom