Baadhi ya watu wanawezaje kuichukia CCM na rangi zao za utambulisho ila ni washabiki wa yanga yenye rangi hizo hizo ?

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Wakuu liko wazi ukipenda kitu utapenda na utambulisho wake kwa na ukichukia jambo utachukia na utambulisho wake.

Binafsi naichukia CCM nikiona kijani na njano pamoja nachukizwa na mchanganyiko huo.

Baadhi ya watu wanawezaje kuichukia CCM na rangi zao za utambulisho ila ni washabiki wa yanga yenye rangi hizo hizo ?
 
Back
Top Bottom