franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Humu kwenye mutandao mmejaa sana ila bahati mbaya sana wapiga kura wako site na huko mmeadimika sana toka enzi za Dr.Slaa ..pimeni Maneno yangu
Mutandao?
ndugu zangu huwa kuna indicators (viashiria ) vingi sana wakati roho inataka kuacha mwili. Hivi ni CCM ya lini ilishawahi hata kujabiru kubadili identity yake?? rangi yake?? vibwagizo vyake?? n.k
Haya mambo ni magumu !! kuna jambo kuu tunalishuhudia mwezi ujao!!