Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Tatizo la kubwa siyo individuals huko waliko. Ni system mkuu. Hata ukimuweka Slaa hatoperform kitu huko. Ndiyo maana tunataka kuchange System ili nao hao wapate muda wa kujitathmini na kama wakionekana kubadilika then tutawarudisha. Haya yote yanawezekana kama watakubali mabadiliko na kutoka kwa amani. Wakikataa mabadiliko na kutumia nguvu watatolewa kwa nguvu na hawatapata tena huruma toka kwa wananchi na kufa kama KANU.